kwanini ccm wanaweka viti kwenye mikutano yake ?

kwanini ccm wanaweka viti kwenye mikutano yake ?

Super H

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2012
Posts
1,070
Reaction score
405
wakuu niliona jagwani na leo nimeona arusha .kabla ya hapo sikuwahi kuona mkutano wa siasa ukiwekwa viti.vya kukaa ?

alafu huku kitaa wanasema kampeni zinaanza rasim 29/8/2015 .
 
Mkuu wanaweka viti walau kucover magepu.
Yah ukiangalia.CCM wameanza campaign tayari lakini hazina mvuto wala kishindo.Lowasa akishaingia Ulingoni ndo campaign zinaanza mkuu.
 
walemavu wanaweza kusimama kwani? umeshindwa hata kutumia akili kwa jambo dogo kama hilo?
 
walemavu wanaweza kusimama kwani? umeshindwa hata kutumia akili kwa jambo dogo kama hilo?

duu! kwa hiyo ule mkutano wa mgombea mwenza ccm kule kilimanjaro ni wa walemavu? wale wote walikuwa walemavu?
 
Ccm ni chama makini,kilichojaa ustaarabu sambamba na kujali makundi yote likiwemo Walemavu kwa kuzingatia haki zao na usawa.Inataka watu wa mbele wakae chini kuwe na utulivu ili wasikilize sera vizuri.Siyo kujazana mbele kushangilia hovyo hovyo.
 
Vipi watafsiri alama za sauti pia wapo?
Vilema wanapandaje malori?
Weka picha ya lori limepakia baiskeli ya walemavu mkutanoni.
 
Kampeni bado,zikianza moto utauona!Mtikisiko utakaotokea ndio watu watajua game imeanza!
 
walemavu wanaweza kusimama kwani? umeshindwa hata kutumia akili kwa jambo dogo kama hilo?

Kwa hyo mkutano wenu unahudhuriwa na walemavu tu,halafu nikuulize mbona kila wagombea hawa wanapohutubia wanawaita wote wa kwenye mkutano Wana ccm?
 
wakuu niliona jagwani na leo nimeona arusha .kabla ya hapo sikuwahi kuona mkutano wa siasa ukiwekwa viti.vya kukaa ?

alafu huku kitaa wanasema kampeni zinaanza rasim 29/8/2015 .
Ustaarabu ndio umejaa CCM.

Kule kwengine ni VURUGU TUPU
 
11900013_995999900439688_1584715004124167199_n.jpg
 
wakuu niliona jagwani na leo nimeona arusha .kabla ya hapo sikuwahi kuona mkutano wa siasa ukiwekwa viti.vya kukaa ?

alafu huku kitaa wanasema kampeni zinaanza rasim 29/8/2015 .
Viti vinachukua nafasi. Eneo la kiti kimoja ni sehemu ya kusimama watu wanne. We ukiona mkutano wa CCM una Viti basi ukitaka kujua idadi halisi ya wahudhuriaji we chukua eneo lote lenye watu gawanya kwa nne.

Ndio kusema kua ukiona uwanja mzima watu wamejaa basi idadi halisi ni robo uwanja tu
 
wakuu niliona jagwani na leo nimeona arusha .kabla ya hapo sikuwahi kuona mkutano wa siasa ukiwekwa viti.vya kukaa ?

alafu huku kitaa wanasema kampeni zinaanza rasim 29/8/2015 .

ile ilikuwa maalum kwa akina Lowassa maana kusimama muda mrefu hawezi
 
UKAWA imeshawapagawisha, eti wanataka na wenyewe waonekane wamejaza uwanja!! Ningekuwa tume ningewagonganisha kama ngoma ya Usukumani (Wighashe)! Hii ngoma huwa inatoa fursa kwa mashabiki kuhama hama kufuata manju anayenogesha na mwisho wa siku mwenye watu wengi ndo hutangazwa mshindi. Ningeruhusu mkutano wa ma-ccm uwe Jangwani na wa UKAWA uwe Mwembe Yanga!! Au potelea mbali ningeyapendelea ma-ccm nikayapa uwanja wa Taifa na UKAWA nikawapa Mwembe Yanga! Naamini yasingepata watu pamoja na kuyapendelea kuyapa viwanja vizuri, hii ingekata mzizi wa fitina na heshima ingerudi hapa mtaani!!
 
Back
Top Bottom