Recent content by pro wa sambuo

  1. pro wa sambuo

    JamiiForums Mrejesho: Nimekata tamaa ya kuolewa

    Samaki mmoja akioza usitupe wote! Mchomoe kwenye tenga tupa kule wanaobaki kulaaa!!unayachukia mapenzi kwa kutendwa na mwanaume mmoja
  2. pro wa sambuo

    JamiiForums Ndege Bundi

    Bundi akilia huwa ndo style yao ya kuitana! Wakati huo jike anakuwa,kwenye joto..Hivyo mkuu usiogope kelele zake hazina utofauti na za jogoo!
  3. pro wa sambuo

    JamiiForums Hili kabila litanikosesha mke

    Acheni kuhukumu! Suala la kuchapiwa au la demu kujirahisisha halina kabila! Ni taabia ya mtu tu.
  4. pro wa sambuo

    JamiiForums Leo sikukuu jaman?

    Ni ya kitaifa?
  5. pro wa sambuo

    JamiiForums Tukumbushane dawa za zamani, naanza na chloroquine

    Castrioil na antepa dawa ya minyoo duuh ukiinywa utaweza kuharisha utum o
  6. pro wa sambuo

    JamiiForums Neno moja kwa mume, mke ama mpenzi aliyekusaliti

    If you dead I wouldn't cry! (Inamtosha)
  7. pro wa sambuo

    JamiiForums Swagger zilikuwa zamani bwana

    [emoji2] [emoji2] [emoji2] hataree! Umenikumbusha mbali kweli mkuu
  8. pro wa sambuo

    JamiiForums Wanaoishi kanda ya Kaskazini

    Nini shida asee! Kuna tatiso kwaañi
  9. pro wa sambuo

    JamiiForums Very Interesting Question

    Hats mimi
  10. pro wa sambuo

    JamiiForums Mwanaume aliyekutoa bikra/mwanamke aliyekutoa bikra

    Hiyo c kweli! Zipo bikra zinazotolewa kwa kuendesha baiskel, kuruka kamba nk!
  11. pro wa sambuo

    JamiiForums Simba fukuza kocha haraka sana

    Ule utafiti wa watu 4 mmoja ana kichaa usije kuwa na kajkweli flani!
Back
Top Bottom