Hili kabila litanikosesha mke

Omba usikutane na Demu limbukeni wa kisukuma ....... yaani wanagawa hao!!! nasikia anaonja kila ladha ili wakifika huko kwao anasimulia wenzake.
 
Sawa umetaja tu upande mmoja wa Wayao Kabila la " Bi Mkubwa " wangu, Je vipi kwa Wazanaki ambalo ndilo Kabila langu la " Kiumeni? "
Sijawahi kukutana na kabila la upande wako wa kiumeni so I have no comment(s)
Lkn mhhhh si wapo mkoa wa Mara hawa?Kule hamna shida mwanamme kupata mpenzi siku kafika hiyo hiyo mbona?Au wale tunaokutana nao pale Kyabakari ni wa Ngoreme?

Wale hawana noma!
 
Mbona hata Kabila lako mwenyewe la Kisukuma ni full " matatizo? " Mmeacha ile tabia yenu ya kula kula hovyo pindi muwapo safarini? Ubungo asubuhi mnanunua miwa mnaanza kututafunia ndani ya basi, tukifika mizani mnatafuta mayai ya kuchemsha ili mtujambie vizuri mbele ya safari na hakika huwa tunawakoma, tukifika chalinze lazima mnunue mahindi ya kuchemsha, Msamvu Morogoro mnatafuta mihogo ya kuchemsha, Gairo lazima mnunue viazi vya kuchemsha pale, Dodoma huwa mnatugandisha mno kwani wengi wenu hukimbilia vyooni " kufyatua " mlivyovifakamia katika vituo tulivyovipita, maeneo ya Shelui mtanunua Chips yai na kuku za kuletewa dirishani ambazo hata hivyo nyingi huwapeni sana usumbufu wa matumbo na tukiwa tunataka kuliacha pori la maeneo hayo huwa mnamsimamisha dereva huku mnakimbilia maporini kujisaidia, Singida lazima tu mtaulizia Ugali na wengi wenu ili msichelewe katika basi huwa mnabeba kabisa huo Ugali na mkipanda nao ndani ya basi huwa mnatupa " show " ya bure hasa kwa jinsi mnavyochota na kuutafuna huo Ugali kwani huwa mnatumia sana nguvu utadhani mnaua nyoka, Shinyanga na penyewe mtatafuta vitumbua na hadi tunafika Mwanza pale Kituoni hakika matumbo yenu Wasukuma huwa yanakuwa yamechafuka mn
hahahahaaaaaaaaaa jamani mmmh msukuma kapatikana
 
Back
Top Bottom