Wanaoishi kanda ya Kaskazini

The Messenger

JF-Expert Member
Jul 2, 2014
1,523
808
Wanajamii,

Embu tunaoishi kanda hii mkuje upande huu!

Najua ni ngumu kwa baadhi ku-reveals ID ila kujuana jwa izo izo ID fake
 
Mimi sina ID na AVATAR fake. Niko Arusha nauza car decorations karibuni japo pia nimkulima
 
hilo neno kanda ya kaskazini usiitaje ukiwa unaenda kuomba kazi Maana kwa mtukufu ni sawa na kumtusi hata ngazi hizo watakuwa wameshaeleweshwa teh teh
 
Back
Top Bottom