Recent content by Private don

  1. P

    JamiiForums Tanzania Siioni amshamsha ya Forex, vipi watu wameshapigwa?

    Hapana nimeuliza kwawema kabisa nasijaja kukejeli MTU hapa ila ukweli lile amsha amsha la mwanzo limekufa Tena kifo cha mende kabisa ndio maana walionilewa wanajieleza kwamba wako bize !!! Yaani Forex imewafanya wawe bize means walikuwa hawana kazi yakufanya sasa unapokuja Na maswala ya ID...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Siioni amshamsha ya Forex, vipi watu wameshapigwa?

    [emoji3] [emoji1] [emoji2]
  3. P

    JamiiForums Tanzania Siioni amshamsha ya Forex, vipi watu wameshapigwa?

    Katika nyuzi nyingi zilizopita za Forex nilikuwa msomaji mzr sana ila ulikuwa ukionekana unaongelea negative kuhusu hii Forex aisee ungetamani aridhi ipasuke kwa vichambo namaneno ya kejeli ila now mumeijua vizr Forex Sizisikiii tena zile kelelee nazani Forex kashafanya yake Kunajamaa...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Siioni amshamsha ya Forex, vipi watu wameshapigwa?

    Hakuna sehemu nimemwombea na kufurahia MTU kushindwaa!!! Pitia kwenye post yangu upya nazani utaelewa nachokieleza!!!!
  5. P

    JamiiForums Tanzania Siioni amshamsha ya Forex, vipi watu wameshapigwa?

    Ndugu ninaongea kitu ambacho kipo pita kwenye nyuzi za Ontario kama bado kumechangamka !!! Kumepoooza saana hadi kunatia shaka yaani toka tu aanze kufundisha watu wakakata kabisa !!ndio maana hapo kunamaswali tena mengi yakujiuliza!!! Vpi kulikoniii mbona huu ukatishaji wa mada za Forex umezima...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Siioni amshamsha ya Forex, vipi watu wameshapigwa?

    Napenda kuleta Uzi huu mahususi kabisa kwa wale jamaa zangu wa FOREX !!! Nimeona niseme kitu coz hapo mwanzo kipindi ndugu na jamaa yetu bwana Antario alipoanzisha uzi wa Forex !!! Naweza kusema nyuzi zake zilipata waafuasi wengi sana hata Mimi nikiwemo !!! Ninachojiuliza kwa sasa je? Forex...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Locations zenye idadi kubwa ya watu Dar

    Njoo Tandika hii ndio kariakoo ndogo kwa Dar
  8. P

    JamiiForums Tanzania Six ways men can escape poverty

    Good
  9. P

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Good
  10. P

    JamiiForums Tanzania Thread Maalum ya Waziri wa Maliasili na Utalii - Dr. Hamis Kigwangalla

    Wewe ndio puuzi la mwisho kabisa
  11. P

    JamiiForums Tanzania Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Good
  12. P

    JamiiForums Tanzania Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Good
  13. P

    JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

    Ndugu natafta broker wa bonus ila aswe namavigezo mengi anakuruhusu kuwthidraw faida bila ya kudipost !!! Asiwe kati ya hawa XC ; Tick mill na instaforex
  14. P

    JamiiForums Tanzania Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

    Unatumia broker yupi ? Maana nawaonaga akina Andile wanatumia platform kama yako
  15. P

    JamiiForums Tanzania Imetosha kulalamika ni muda wa kuchukua hatua sasa

    Njaa mbaya ndugu Anza wewe kwanza ukimaliza nasisi tutakifata!!! Spost ya kijinga sana huna kazi zakufanya unafikilia huo ujinga !!! Unafamilia wewe kweli ? Yawezeka bado unakula ugali wa mama wewe !!!
Back
Top Bottom