Siioni amshamsha ya Forex, vipi watu wameshapigwa?

Endelea kusubiri hiyo amsha amsha ambayo na uhakika hutaiona. Jinsi hii business inavyotakiwa usome na kutumia akili, huo mda wa kukupostia wewe uamini nautoa wapi??
Halafu hamna aliesema kwenye forex kuna utajiri wa haraka so keep waiting bra.
Ndugu ninaongea kitu ambacho kipo pita kwenye nyuzi za Ontario kama bado kumechangamka !!!
Kumepoooza saana hadi kunatia shaka yaani toka tu aanze kufundisha watu wakakata kabisa !!ndio maana hapo kunamaswali tena mengi yakujiuliza!!! Vpi kulikoniii mbona huu ukatishaji wa mada za Forex umezima gafuraa!!! Kungekuwa naneema huko kwenye Forex tungeona milejesho kibaoo
Ila Mpaka now naona vijana waliotamani kuziacha kazi zao wanajisemea kimoyomoyo sijui sasa ningekuwa wapiii!!!
Hii Forex naamini waliokuwa wanapapalukia sasa hivi nazani wameshakuwa Wapole!!!
Endeleeni nalugha zenu zakujifariji Mara oooh!!! Forex unatakiwa usome sana hahaaa haya bana soma sana na nakuongezea vitabu vingine ukasome navyo vitakusaidia!!!
Emotion free trading
Understanding the market
Adventure of Forex
Endelea kukomaaa uje utupe mlejesho umefikia wapi???
 
Katika nyuzi nyingi zilizopita za Forex nilikuwa msomaji mzr sana ila ulikuwa ukionekana unaongelea negative kuhusu hii Forex aisee ungetamani aridhi ipasuke kwa vichambo namaneno ya kejeli ila now mumeijua vizr Forex
Sizisikiii tena zile kelelee nazani Forex kashafanya yake
Kunajamaa alinielekeza niangalie move hii The Assault of the Wallstreat ninzuri sana nivyema ukaipitia nawe itakupa Funzo !!!
 
Unachokiona ni matokeo ya vijana kupata kitu cha kuwaweka busy.

Laiti kama hata uncle Magu angejua kuwa FX inauwezo mkubwa kiasi hiki wa kunyamazisha watu angeitumia

Ni kwamba tafuta wale watu walio idaka fursa ya Forex mapema kwenye zile nyuzi, linganisha u active wao hapa JF before and after ndo utajua nachosema.

People are busy milking the market, busy doing analysis, busy doing discussion,busy chasing pips.

Wengi wao hata ma group ya whatsap mengine wamepotea.

Ndio ,aliesema Fx ni hela nyepesi nae pia alidanganya, ila FX ina pesa ndefu
 
Sio kama tumeliwa Yaani hii forex imetuweka busy saana maana unatakiwa uangalie mambo mengi saana, mkuu hakuna Pesa nyepesi.
Tunapata Pesa saana na forex mkuu
Mie nilikua na magroup mengi ya whàtsp lakini sasa hivi sishiriki tenaa. Niko busy na forex kama unaweza pata $60 kwa muda Fulani kwa siku kwa nini niangaike kwenye mitandao ya kijamii bila faida?
Lazima tubadilike hatuji huku tuko busy kutrade mkuu
 
Napenda kuleta Uzi huu mahususi kabisa kwa wale jamaa zangu wa FOREX !!! Nimeona niseme kitu coz hapo mwanzo kipindi ndugu na jamaa yetu bwana Antario alipoanzisha uzi wa Forex !!!
Naweza kusema nyuzi zake zilipata waafuasi wengi sana hata Mimi nikiwemo !!!
Ninachojiuliza kwa sasa je? Forex hii mbona imepoteza mvuto na lile amsha amsha kama la mwanzo mbona limekufa? Au tayari watu wameshalizwa? Au wanatengeneza mapesa kimyakimya?

Hapana !!! Hapa kunakitu haiwezekana Jf ipoe kiasi hiki kuhusu hii Forex !!!
Maana hakuna mlejesho wowote wa MTU ambaye tayali amesha nunua hata passo kwa kutumia pesa ya Forex !!!!
Povu linaluhusiwa !!!!!
unataka kila siku hiwe kozi ndugu.umeshapewa fursa au liwe tangazo asubuhi,mchana na usiku
 
poverty mentality:
mtu fukara alifurahi sana siku aliposikia kuwa ICD ya mzee bakhresa ilihusika katika upotevu wa makontena bandarini.

pia alifurahi sana aliposikia taarifa kuwa serikali itamnyang'anya mohamed dewji mashamba ya mkonge aliyouziwa na serikali miaka kadhaa iliyopita.
 
Back
Top Bottom