Siioni amshamsha ya Forex, vipi watu wameshapigwa?

Unataka amshaamsha gani.? Kwa nini uulize kama watu wameshapigwa usiulize kama watu wameshafanikiea.? BTW wafuasi wa forex tupo, na forex is within me to stay.

Kama unataka jua habari za forex be between us you ll know em all. Knowledge is there for he who seek it.
 
ONTARIO keshafanya yake.
6f083bfdad1c1860c428be203c02cdb0.jpg
 
Huyo jamaa aliyeleta habari za forex humu jf.. bila shaka ni mjukuu wa mzee mwakipesile.... wengine wamemzoea kwa jina la babu wa loliondo....
Maana mbinu zake zinaendana sana na mzee huyu.
 
Siioni amshaamsha.....

Mkuu hii ina maana gani kama hula lako moyoni?

Hata kama unauliza kwa wema, umeshindwa kutafuta neno zuri badala ya kuweka hilo!

Halafu mkuu wewe umejiunga na hii ID yako September 16, 2017 ambapo ulikuta hii FOREX imeshakamilika kabisa kwa hatua zake na watu wameanza kujifunza, jambo ambalo linaonesha umeamua kuja na hii ID mpya ili uje ulete kejeli juu ya watu wenye nia na FOREX.

Ebu acha wivu mkuu sio jambo zuri!!
Hapana nimeuliza kwawema kabisa nasijaja kukejeli MTU hapa ila ukweli lile amsha amsha la mwanzo limekufa
Tena kifo cha mende kabisa ndio maana walionilewa wanajieleza kwamba wako bize !!! Yaani Forex imewafanya wawe bize means walikuwa hawana kazi yakufanya sasa unapokuja
Na maswala ya ID yangu minaona uko out of the topic !!!
Nikupe neno moja ilifikia mahara MTU alikuwa akifungua Uzi unao husu Forex ulikuwa unafutwa means yeyote aliyetaka uelezea Forex alionekana kama MTU anayetaka kuingilia masirahi ya watu
So kama ni understanding mzr nazani utakuwa umenielewa vzr!!! Good night
 
Walichonifurahisha ni kuwa sasa wako bize na forex.
Kumbe walikuwa jobulesi huku na sisi wauza juisi ya miwa badala ya kukomaa kama baresa tukawa nao.
Nawashauri wakomae na forex yao kwani.
Dangote alitoka kwa bitcon
Mengi alitoka na bingo.
Dewji alitolewa na lotto.
 
Endelea kusubiri hiyo amsha amsha ambayo na uhakika hutaiona. Jinsi hii business inavyotakiwa usome na kutumia akili, huo mda wa kukupostia wewe uamini nautoa wapi??
Halafu hamna aliesema kwenye forex kuna utajiri wa haraka so keep waiting bra.
Sasa kama hela ya huko ni ngumu sana.. Kwann wasifanye haya rahisi kwanza.. Trade! (For instance) manufacturing?! Afterall I see more billionaires from simple things and none from forex!
 
Hapana nimeuliza kwawema kabisa nasijaja kukejeli MTU hapa ila ukweli lile amsha amsha la mwanzo limekufa
Tena kifo cha mende kabisa ndio maana walionilewa wanajieleza kwamba wako bize !!! Yaani Forex imewafanya wawe bize means walikuwa hawana kazi yakufanya sasa unapokuja
Na maswala ya ID yangu minaona uko out of the topic !!!
Nikupe neno moja ilifikia mahara MTU alikuwa akifungua Uzi unao husu Forex ulikuwa unafutwa means yeyote aliyetaka uelezea Forex alionekana kama MTU anayetaka kuingilia masirahi ya watu
So kama ni understanding mzr nazani utakuwa umenielewa vzr!!! Good night
Kuna ngroup lipo Telegram "Forex Traders Tz" mambo yanaendelea kama kawaida...
 
Hakuna trader aliyewahi kufanikiwa kwa kutrade na account ya 1000$-10000$.. Hii kuambiwa utamake millions starting na 100$ ni uongo.

Wajanja hao wanaofundisha wanawapeleka watu shimoni... Haina tofauti na wale Wa hela ya mjerumani Mara pasi imefanyaje..wote ni utapeli.

Forex is the new religion for people who worship God ($) and are desperate. Hao mabroker na wakufunzi their business model is teach more and convert even more.. Wanapata fees for lectures and seminar ambazo zinakubrainwash make you dependent.. Halafu broker anakula percentage ya evry dime you spend weather you lose or win.. As long as you do spend his business is gud..

Look at George Sorros hawa ni Economists strategists Experience in financial markets for over decades..commanding billions of $ ..they are wealth/Asset managers by proffesion ...so they tell you they are traders but truth is they don't make their money only from trading..(risk is too high) so they invest in various businesses that can be controlled

Anyway kila lakheri.. Mie huo.ndio.umekuwa uelewa wangu na nimechemsha kuzielewa pips... Na where do I make my money... Maana matangazo yote online is sales pitch ya software, broker au seminar... Honestly
 
Forex inaendelea tena sahz waty wako buzy sana hkuna mda wa kuja kuandk hbr hzo alf forec ni ulev ukianza hutk kupxk
 
Stunter alikua mdau sana hapa jf, lakini toka aanze kutrade humuoni tena akisumbua jf maana amepata kitu cha kumweka busy. Sasa wewe na uvivu wako wa kifikiri endelea hivyo hivyo
Kabisa yaan hata zile thread zake za papuchi hazipo kabisa...
 
Hapana nimeuliza kwawema kabisa nasijaja kukejeli MTU hapa ila ukweli lile amsha amsha la mwanzo limekufa
Tena kifo cha mende kabisa ndio maana walionilewa wanajieleza kwamba wako bize !!! Yaani Forex imewafanya wawe bize means walikuwa hawana kazi yakufanya sasa unapokuja
Na maswala ya ID yangu minaona uko out of the topic !!!
Nikupe neno moja ilifikia mahara MTU alikuwa akifungua Uzi unao husu Forex ulikuwa unafutwa means yeyote aliyetaka uelezea Forex alionekana kama MTU anayetaka kuingilia masirahi ya watu
So kama ni understanding mzr nazani utakuwa umenielewa vzr!!! Good night

Jibu katika hili ni moja tuu, Usitake lazimisha maisha yafanane. Kwamba unachokiamini wewe, na mwenzako ni lazima akiamini hichohicho. Pia usirukie katika conclusion kwamba kwa kuwa wewe umeshindwa kunata na beat ya forex basi uweke guarantee kuwa na wengine watashindwa na watafail.

Maisha hayafanani, na usikariri maisha. This is one of the golden rules in life.

NB : Nikuulize tuu swali moja. Wewe unataka uione hiyo amshaamsha ili iweje kwa upande wako. Ama kukiwa ama kusipokuwapo na amshaamsha kama unayohitaji wewe kinabadilika nini kwa upande wako.?
 
Kiukweli the way forex inavyobikeep busy nachoona jamii forum ndio imepoteza mvuto kwa upande wangu.nakosa muda wa kuingia humu.ule muda nlikuwaga naingia jf najikuta nimezama tu kwenye forex.sasa wale wa kusubiri amsha amsha mtasubiri sana kwa kweli.
 
Hakuna trader aliyewahi kufanikiwa kwa kutrade na account ya 1000$-10000$.. Hii kuambiwa utamake millions starting na 100$ ni uongo.

Wajanja hao wanaofundisha wanawapeleka watu shimoni... Haina tofauti na wale Wa hela ya mjerumani Mara pasi imefanyaje..wote ni utapeli.

Forex is the new religion for people who worship God ($) and are desperate. Hao mabroker na wakufunzi their business model is teach more and convert even more.. Wanapata fees for lectures and seminar ambazo zinakubrainwash make you dependent.. Halafu broker anakula percentage ya evry dime you spend weather you lose or win.. As long as you do spend his business is gud..

Look at George Sorros hawa ni Economists strategists Experience in financial markets for over decades..commanding billions of $ ..they are wealth/Asset managers by proffesion ...so they tell you they are traders but truth is they don't make their money only from trading..(risk is too high) so they invest in various businesses that can be controlled

Anyway kila lakheri.. Mie huo.ndio.umekuwa uelewa wangu na nimechemsha kuzielewa pips... Na where do I make my money... Maana matangazo yote online is sales pitch ya software, broker au seminar... Honestly
Hahaha a pole mkuu inaonekana ulijitahidi kusoma lakini umechsha. Forex is not for everyone
 
Kila mtu afanye anachopenda,

Jiulize kwanini pombe inamadhara ila ni ruksa kuitumia,lakini bangi haina madhara ila ni marufuku kuitumia.
 
Katika biashara nyingi za utapeli nimeona wanaoibiwa wakija kukalamika. Mbona kwa FOREX inakuwa kinyume?
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom