Siioni amshamsha ya Forex, vipi watu wameshapigwa?

Private don

Member
Sep 16, 2017
16
45
Napenda kuleta Uzi huu mahususi kabisa kwa wale jamaa zangu wa FOREX !!! Nimeona niseme kitu coz hapo mwanzo kipindi ndugu na jamaa yetu bwana Antario alipoanzisha uzi wa Forex !!!
Naweza kusema nyuzi zake zilipata waafuasi wengi sana hata Mimi nikiwemo !!!
Ninachojiuliza kwa sasa je? Forex hii mbona imepoteza mvuto na lile amsha amsha kama la mwanzo mbona limekufa? Au tayari watu wameshalizwa? Au wanatengeneza mapesa kimyakimya?

Hapana !!! Hapa kunakitu haiwezekana Jf ipoe kiasi hiki kuhusu hii Forex !!!
Maana hakuna mlejesho wowote wa MTU ambaye tayali amesha nunua hata passo kwa kutumia pesa ya Forex !!!!
Povu linaluhusiwa !!!!!
 
kasulamkombe

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
2,234
2,000

DUH MBONA KIMYA NI KWELI NINI! WATAKUWA WAMELIZWA MAPEMA MIMI NILIJUA WATALIZWA ILA SI KWA MUDA MFUPI HIVI.FOREX NA BITCOIN HAVITAWAACHA WATU SALAMA
 
Espy

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
69,301
2,000
It's funny how a man dares to open a thread to talk about how other men choose to spend their money!

Forex is real, so is poverty!

It all depends on how you choose to use your brain!
Nasubiri mgao wa ulizodownload.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom