Turudi nyuma pia... Moh na Dangote walishindanishwa na watu wa aina gani.... Kulikuwa na marais pia??
Wajuz na wafuatiliaji wa hizi tuzo waje watupe majibu...
Wakati tunatoka katika mfumo wa analogy kuingia digital ilitolewa kauli kuwa local channel hazitakuwa zikilipiwa kwa maana hata kama hujalipia king'amuzi basi zitaendelea kuonekana tu bure. Lakini imekuwa kinyume na sasa hawa waliopewa hiyo dhamana wameamua kufanya wanavyopenda na kuamua kutoza...
Wateuliwa wengi hawana ubunifu wanasubiri mpaka rais aseme wao ndo watekeleze. Wana Kali yao kwamba wanatekeleza maagizo ya rais. Sasa kwa hali hii tusubiri mh. afike hayo maeneo atoe maagizo labda ndo kutakaa sawa.
Mkuu ukiendelea hivyo na kusimamia malengo yako, amini cku moja utakuwa general supplier.
Kuna jamaa alianza na kigenge lakini saiv anashusha lori la viazi mbatata kutoka Mbeya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.