Forbes yachafua hali ya hewa Lumumba!

Forbes yachafua hali ya hewa Lumumba!

186a3a64953593c76cf0fa675dd51205.jpg
 
Wewe mzee Tupa Tupa ongea na wanafiki wenzio bavicha
Huyo ndio Mzee Tupa Tupa bwana,we baki ghilibu zako Tupa Tupa atabaki hvyo hvyo labda kama unalo japya tujuze Ila punguza ghilibu humu panatakiwa hoja sio kashfa na matusi
 
nilipita kuwasabahi asubuhi hapo Lumumba nyuso zenu zilionesha mna msongo wa mawazo na midomo imekauka kuonesha hata vaseline ya kuzuia isipasuke imedunda mwamba..na kale kakibwagizo kenu ka "acha tuisome namba eeeh.."kalikuwa kanasikika kwa mbali
 
kama kuna udanganyifu kwenye hili basi itakuwa ni sehemu nzuri ya kupima ufanyaji wa maamuzi magumu wa Mtukufu..je atarara mberee na 'vibaraka"?
 
Hii habari ya tuzo ni ya ajabu sababu hakuna popote kwenye Forbes Africa inapotajwa. Hata akaunti yao ya Twitter haitaji jambo hilo, sana sana inazungumzia toleo jipya la jarida hilo.
 
Dah sijui nani aliwastua angewaacha Kwanza wakamwaga pumba zao
 
Hahahahaha!!! Tetetetetete!!! Nilisema kwenye post ya kuhusu press conference Hiyo nikasema ni umeya hewa Na tuzo hewa.Yaani mungu anajua kuwaumbua watu yaani kaamua kuzishikiria akili za watu wa Lumumba kiasi hiki? Ndo maana walifeli topic ya logic mpaka wengine wakajiita jinga lao, stroke, lizibon, and co hawaonekani wameingia mitini.
 
Mitandao oyee! Naona mashetani watashushwa haraka sana ili waifunge mitandao yote nchini. Mitandao ina nguvu kubwa kuliko hata Bunge sasa hivi katika kuanika uozo wa hii Serkali dhalimu na utendaji wake mbovu.

Suala la Forbes limewatofautisha viongozi waandamizi wa CCM na kupelekea mkutano na waandishi wa habari kuahirishwa. Mkutano huo na waandishi wa habari ulilenga kutoa uchambuzi wa kiindi cha waka mmoja wa Serikali ya Awamu ya tano iliyo chini ya Rais Dr. John P. Magufuli. Ilipangwa kusifu kila idara na kuwaomba wananchi wamuunge mkono Rais Magufuli.

Nyaraka za mkutano huo na waandishi wa habari zinaonesha kuwa CCM imeuchambua mwaka huo na kwa ujumla, kumemiminwa sifa za kutosha na kutisha. Pia, CCM ilipanga kugusia mwenendo wa chama kwa ujumla kwa kudurusu kesi mbalimbali za uchaguzi zilizopo mahakamani kwa sasa na hata Uchaguzi wa Meya wa Kinondoni na Ubungo.

CCM pia ililenga kuzungumzia 'kuongoza' kwa Rais na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Dr. Magufuli kwenye shindano la 'Mtu Mahiri Afrika wa mwaka 2016' linalosemekana kuendeshwa na Forbes. Suala hilo limewagawa viongozi waandamizi chamani hapa Ofisi Ndogo za Lumumba na kupelekea kuchafuka kwa hali ya hewa kwa muda. Suluhisho lilikuwa ni kuahirisha Mkutano na waandishi wa habari.

Eti mambo ya mitandao inaahirisha Press Conference! PC ni kesho saa tano asubuhi hapa hapa Lumumba!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam!
 
Soon kibarua chako UDSM kitaota nyasi......
 
Eti hadi gazeti lile la UHURU limeandika,mbona halifungiwi kwa kuandika uchochezi?
 
Na wenyewe Forbes Africa wakiwashitaki sijui watalipa nini maskini.
 
Mtu mashuhuri Rais wa nchi anashindanishwa na watu wasio na nyadhifa wala majina makubwa.Ilikuwa njia ya kutuondoa kwenye mjadala mkubwa wa Mheshimiwa anaetumia majina ya wizi.
Kwani 'The People of Rwanda' siyo mashuhuri mkuu?
 
Suala la Forbes limewatofautisha viongozi waandamizi wa CCM na kupelekea mkutano na waandishi wa habari kuahirishwa. Mkutano huo na waandishi wa habari ulilenga kutoa uchambuzi wa kiindi cha waka mmoja wa Serikali ya Awamu ya tano iliyo chini ya Rais Dr. John P. Magufuli. Ilipangwa kusifu kila idara na kuwaomba wananchi wamuunge mkono Rais Magufuli.

Nyaraka za mkutano huo na waandishi wa habari zinaonesha kuwa CCM imeuchambua mwaka huo na kwa ujumla, kumemiminwa sifa za kutosha na kutisha. Pia, CCM ilipanga kugusia mwenendo wa chama kwa ujumla kwa kudurusu kesi mbalimbali za uchaguzi zilizopo mahakamani kwa sasa na hata Uchaguzi wa Meya wa Kinondoni na Ubungo.

CCM pia ililenga kuzungumzia 'kuongoza' kwa Rais na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Dr. Magufuli kwenye shindano la 'Mtu Mahiri Afrika wa mwaka 2016' linalosemekana kuendeshwa na Forbes. Suala hilo limewagawa viongozi waandamizi chamani hapa Ofisi Ndogo za Lumumba na kupelekea kuchafuka kwa hali ya hewa kwa muda. Suluhisho lilikuwa ni kuahirisha Mkutano na waandishi wa habari.

Eti mambo ya mitandao inaahirisha Press Conference! PC ni kesho saa tano asubuhi hapa hapa Lumumba!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam!
Ni aibu sana kwa chama kilichokongoroka kama hiki kutunga uongo wa kudhalilisha kwa kiwango kile .
 
tunaomba pia mseme ukweli tendeeni haki sentensi hii "MSEMA UKWELI MPENZI WA MUNGU"
 
VUTA-NKUVUTE
ina maana nyie hapo lumumba ni kusifu tu hamna hata kushauri serikali ni wap ielekeze nguvu kama livyokuwa wakati wa mwalimu chama kushauri serikali na sio kila kitu kusifu tu?
Ina maana hapo Ufipa ni kupinga tu na kudharau kila jambo linalofanywa na serikali ya CCM?, hamna hata jambo moja la kuipongeza na kuishauri serikali ya Mh. Magufuli?

Mzee wa Chilonwa.
 
Hivi lkn CCM mna akili timamu kweli?

Yaani Rais wa nchi mnamfananisha na watu wa Rwanda, sijui mijitu gani na mkaona ni sawa kabisa?

Kwanini msingempambanisha na marais wa nchi jirani kama siyo kumdhalilisha msema kweli ni mpenzi wa mungu.
Au mungu wake ni tofauti?
 
Back
Top Bottom