Inalipa sana kujisomea kaka ndio maana unakuwa tofauti kila Mara kwa kujiongeza na kujipambanua kimaarifa zaidi,wengine mbwbwe Tu,binafsi nafuata nyayo
Binafsi napongeza uwepo wa chata au nembo ya Taifa letu kwa maana ya ndege hizi,pia sikubaliani kuwa wananchi eti wamesusa,ninacho amini ni ugeni wa ndege na safari hizi ingawa pia hali ya watu kulalamika kukosa mzunguko wa pesa pia ni janga.
Tushukuru kupata ndege zetu wenyewe kama Taifa na...
Nionavyo Mimi suala la uchumi na Uzalendo ndio moja ya changamoto kubwa, nchini kwetu,sio kwenye Vitunguu tu na samaki,na tatizo linaanzia juu matibabu,thamani za majumbani na ofisini,mavazi hata safari za nje vs vijijini mwetu.
Ili uonekane mtamu na bora lazima uendane na Kasi ya...
Kampuni inavaa uhalisia na kuishi hivyo kupata uwezo wa kushitaki ama kushitakiwa(legal entity)
Uhakika wa kuaminiwa maana ipo kisheria.
Uwezo wa kuendesha mambo yake kwa kufuata Sheria,kanuni na taratibu.
Uwezo wa kulipa maduhuri mbalimbali ya serikali.
Uwezo wa kuheshimika pia nk
Dah,inatia simanzi sana,pengine angepoteza maisha bila kupata usaidizi wa kitabibu wangemchukulia hatua Dr hiyo.
Kwetu wengi wanapenda kuzalishwa na Dr wa kiume
Napata shaka sana juu ya weredi wetu juu ya ajili za barabarani. Binafsi nimeiona viongozi pamoja na kuendeshwa na Madereva professional nao wanapata ajali,polisi wenyewe wanao simamia Sheria kwa mikogo yote nao Mara nyingi wanapata ajali na kudhurika.
Suala la kupunguza au kuondoa ajali kwa...
Nakushukuru sana mtoa mada,maana hapa ndipo tunapokosea ktk kuwaandaa watoto wetu,malezi hayashabihiani na uhalisia wa maisha yetu na ndio maana tumezua Taifa linalo endea kwa Kazi mmomonyoko wa maadili.
Watoto wameachwa waishi,waamue,waenende wanavyotaka.
Wazazi hatuna muda nao kabisa kutokana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.