NYANYADO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 3,848
- 2,553
dar kuna mlima?Mwandege hakuna viwanja vilivyopimwa mkuu, ni skwata tu!!
Kiwanja kilichopimwa utakipata kwa 1.5m?
Mimi nimenunua viwili kule mwandege opposite na shule ya msingi, viwanja vizuri mno, ardhi ni tambarare sio milima kama mbezi ya kimara!