Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vitunguu toka China na matumizi ya USD

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by MIGNON, Mar 17, 2010.

 1. M

  MIGNON JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2010
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 1,913
  Likes Received: 562
  Trophy Points: 280
  Ninaomba wataalamu wa uchumi na mambo ya fedha wanisaidie katika hili.
  Nilibahatika kwenda Thailand mwaka jana na nilikuwa na kama USD 600 ambazo jamaa alinituma nimnunulie laptop.Nilifika katika shopping mall majira ya saa moja usiku na jamaa walikataa kupokea USD na wakanitaka nibadili katika pesa ya kwao,nikashangaa!!Bahati mbaya bank zilikuwa zimefungwa na jamaa wakagoma kupokea USD ila wakaniahidi kuniwekea laptop niliyochagua mpaka kesho yake nitakapokuja na bhat (pesa za Thailand).
  Juzi nilikuwa mlimani city na nikauliza bei ya simu na nikajibiwa katika USD,nilipohoji ikiwa sina USD itakuwaje nikajibiwa ya kuwa watabadilisha Tshs kwa rate yao na si ya bank au beuraeu de change.
  Je kweli tuna udhibiti na fedha ya kigeni nchi hii,nisaidieni.
  Jambo la pili ni kuwa nilifika katika soko la Mawenzi Morogoro hivi karibuni na katika vitu nilivyotumwa na Bi Mkubwa ni vitunguu swaumu.
  Nilipouliza kwa wauzaji nilijibiwa kwa kupewa swali hili “vya Tanzania au vya China?” nikashtuka nami nikawauliza kuwa hivyo vya China ni kuwa vimelimwa na Wachina hapa nchini au vimeingizwa kutoka China?haraka nikajibiwa kuwa vimeingizwa toka China na nusu kilo ni shs 3000!!
   
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,462
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Unashangaa ya vitunguu, watu tunakunywa juisi kutoka Arabuni huku matunda yakiozea mashambani na masokoni. Ndo ujue ujinga wa mtanzania, halafu atalalamika hali ya uchumi ni ngumu huku akisahau kuwa udhibiti ktk biashara, soko na bidhaa za ndani ni siri kubwa ya maendeleo ya kiuchumi kwa nchi za mashariki ya mbali.
   
 3. K

  Kimweri JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2010
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 3,183
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  vitunguu vya TZ bei gani?
   
 4. optimist

  optimist Senior Member

  #4
  Mar 18, 2010
  Joined: Sep 13, 2009
  Messages: 148
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  haa jamani tunaelekea pabaya sasa
   
 5. optimist

  optimist Senior Member

  #5
  Mar 18, 2010
  Joined: Sep 13, 2009
  Messages: 148
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  tatizo ni elimu ndogo kwawanajamii ambao wapo wengi zaidi
   
 6. Danp36

  Danp36 JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2016
  Joined: Jul 31, 2010
  Messages: 1,588
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Le
  Leo kariakoo nimekuta vitunguu Toka China aise
   
 7. englibertm

  englibertm JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2016
  Joined: May 1, 2009
  Messages: 8,766
  Likes Received: 1,266
  Trophy Points: 280
  Watanzania aliyetuloga alikwisha kufa.
   
 8. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2016
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 51,585
  Likes Received: 11,970
  Trophy Points: 280
  Mie chochote kile cha kutoka China ambacho kinaenda mdomoni mwangu sinunui, siku zote nitanunua cha Kitanzania maana nina uhakika kiko salama zaidi kuliko cha China na bei yake pia ni poa. Nani anawapa rukhsa hawa wachina waingize mazao yao ya kutoka nchini mwao? Hivi tunahitaji kweli vitunguu kutoka China wakati tuna wakulima wa vitunguu chungu nzima nchini? Kwanini hawa waruhusiwe kuharibu soko la wakulima wa Kitanzania!?

   
 9. Mwamba028

  Mwamba028 JF-Expert Member

  #9
  Oct 11, 2016
  Joined: Nov 15, 2013
  Messages: 2,096
  Likes Received: 336
  Trophy Points: 180
  km ni kweli kuna vitunguu kutoka china basi hii nchi inaumwa kuliko tunavyofikiria
   
 10. DON SINYORI

  DON SINYORI JF-Expert Member

  #10
  Oct 11, 2016
  Joined: Aug 3, 2016
  Messages: 501
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 80
  hehheheheh nchi ya viwanda hii
   
 11. Bila shuka

  Bila shuka JF-Expert Member

  #11
  Oct 11, 2016
  Joined: Oct 14, 2014
  Messages: 282
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Kuna samaki pia kutoka china ambao ni wa maji baridi wa kufuga,pamoja n kamba wale wa baharini
   
 12. ubuntuX

  ubuntuX JF-Expert Member

  #12
  Oct 11, 2016
  Joined: Aug 18, 2014
  Messages: 276
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Inategemea na msimu mkuu,ila vitunguu vya kichina bei ipo constant all time..hiv vya kwetu kuna wakati vinakua ghali sana na wakti vinakua rahisi
   
 13. Planett

  Planett JF-Expert Member

  #13
  Oct 11, 2016
  Joined: Mar 20, 2014
  Messages: 1,512
  Likes Received: 755
  Trophy Points: 280
  napiga kazi na wachina kwenye kampuni yetu yaani wanaimport hadi nyanya kutoka kwao!!
   
 14. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #14
  Oct 11, 2016
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 16,027
  Likes Received: 2,131
  Trophy Points: 280
  Mkuu issue sio Ujinga wa Mtanzania, bali viwanda vya kuhifadhi hayo matunda ili yasioze viko vichache. Pili sie twaenda kwa misimu, wenzetu kwa kutumia teknoljia mazao yao yanapatikana muda wote maana kama ni tapes za irrigation wanatengeneza wao.

  Wajua wenzetu wako wengi sana nchini mwao tuseme kiasi cha 1.3Bill out of 7.4Bill World Population hivyo changamoto ya kuajiriwa inawafanya wachakarike kuunda viwanda vingi ili ku-survive. Hii ni kwa nchini mwao na wanaoweza wanatoka nje ya nchi kutafuta fursa za uwekezaji kwa akina sisi ambao tumelala
   
 15. L

  Luggy JF-Expert Member

  #15
  Oct 11, 2016
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 1,517
  Likes Received: 201
  Trophy Points: 160
  hadi vitunguu tunaagiza kutoka china........
   
 16. p

  privanus Member

  #16
  Oct 11, 2016
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 30
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 15
  Nionavyo Mimi suala la uchumi na Uzalendo ndio moja ya changamoto kubwa, nchini kwetu,sio kwenye Vitunguu tu na samaki,na tatizo linaanzia juu matibabu,thamani za majumbani na ofisini,mavazi hata safari za nje vs vijijini mwetu.
  Ili uonekane mtamu na bora lazima uendane na Kasi ya bidhaa,mapambo,mwendo na hata nakshi ya bidhaa toka nje.
  Ila kwa mwendo huu tutafanana tu na tutaheshimiana tu wallah wote tutaenda sawa,
   
Loading...