Recent content by Prispian

  1. P

    Sakata la Mchanga wa Madini: Mwanasheria wa ACACIA yuko London kufungua kesi

    Acha utoto, utapelekaje bungeni wakati kesi iko mahakamani? Utarekebisha sheria kwa manufaa ya baadae na sio kwa hili kosa ambalo lililokwishafanyika. Watz wengi tunajadili mambo kwa mihemko badala ya kuangalia kwanza tumeteleza wapi.
  2. P

    Waziri Mwigulu Nchemba amepiga marufuku Polisi kuwasafirisha wabunge kutoka nje ya Dodoma

    Aseme nini sasa? Amwambie nani? Wizara ya mambo ya ndani ni sensitive sana haitaki mropokaji ni sawa na wizara ya Ulinzi. Watanzania wengi tumekuwa waongeaji sana, tunataka kulazimisha kila mtu awe anaongeaongea tu bila kufuata miiko ya kazi yake. Viva Mwigulu
  3. P

    Ndalichako na sera mbovu za elimu

    Waziri wa elimu hana mpango na utafutaji wa mbinu mpya katika elimu yetu. Kwani nani kasema nchi ikiwa ya viwanda haihitaji watu wa arts? Kila baada ya miaka 10 kila kitu huwa kinaanza upya nchi hii, sijui twaenda mbele au tunarudi nyuma haieleweki.
  4. P

    Bashe: Kuna kikundi ndani ya Idara ya Usalama (TISS) kinahusika na utekaji. Wabunge 11 wapo kwenye orodha ya kutekwa

    Chama hakiharibiwi na wanachama bali na viongozi, kwani una hakika kama bado hakijaharibika? Njoo huku nje ili uone watu wana maoni gani na ccm
  5. P

    Mwenyekiti wangu, Mfukuze Nape Uanachama Mara Moja

    Huyu jamaa alieandika ni mchonganishi na si mwanachama wa ccm. Kwa hiyo Nape asiwe na uhuru wa kueleza hisia zake?
  6. P

    Mwakyembe:Tukio la uvamizi Clouds ni la jinai

    Bunge limdhibiti huyo mzee kigeugeu, hilo sio jinai aache wawakilishi wajadili na kutoa majibu. Yeye lilishamshinda asitudanganye,
  7. P

    Baada ya Nape, mawaziri njia panda

    Wanatia aibu sana, wanashindwa kuwa na maamuzi wakati wana miongozo ya kazi zao. Si bora waachie ngazi utafanyaje kazi kwa wasiwasi?
  8. P

    Rais Magufuli mashirika ya habari duniani yatakutangaza vibaya hadi udeal vizuri na investors.

    --------------------------------- Ni kama vile tumelaaniwa au tumezoea taabu. Acha watutenge tu hatuna namna, tumechagua wewe kutengwa
  9. P

    Rais Magufuli wafanyakazi tumekukosea nini? - 2

    Fanya kazi acha kulalamika. Nyie si ndo wasimamizi wa vituo kwenye uchaguzi? Unalalamika nini? Chapa kazi ila kosa lenu ni usahaulifu tu. 2019 mambo yatabadilika na utasahau kila kitu cha miaka minne. Watanzania tunaishi maisha bora miaka miwili kila baada ya miaka 10, yaani mwaka mmoja kabla ya...
  10. P

    Rais Magufuli acha kuwaumiza Watumishi wa umma

    Watanzania tunasahau mapema, acha anyooshe nchi. Tena aongeze
  11. P

    Bunge limuwajibishe Makonda na wanaombeba

    Peleka mahakamani ushahidi wa hayo yote unayomtuhumu nayo Makonda vinginevyo tuache ushabiki kama tumeamua kufanya kazi za kujenga nchi.
  12. P

    Bunge lijalo Waziri Mkuu atapona?

    Kwani Waziri mkuu anaumwa? Rekebisha kauli
  13. P

    Tukimaliza awamu hii bila STATE OF EMERGENCY tumshukuru Mungu

    KAMA MHESHIMIWA RAIS MAGUFULI ATAAMUA KWA MAKUSUDI KABISA KUSIKILIZA WAPUUZI WACHACHE BASI ATAKUWA AMEWASALITI WAPIGA KURA WAKE. HATA RAIS MKAPA ALILAUMIWA SANA NWANZONI MWA UTAWALA WAKE LAKINI MWISHOWE WATU WAKASEMA AENDELEE HATA MUHULA WA TATU. KULALAMIKA NDIKO KULIKOTUFIKISHA HAPA. JAMANI...
  14. P

    Ofisi za uhamiaji punguzeni gharama za passport

    Wapunguze kutoka shilingi ngapi mpaka shilingi ngapi? Gharama za passport zinazidi nauli ya huko unakotaka kwenda?
Back
Top Bottom