johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,133
- 164,553
Wameshikwa hofu baada ya mwanaccm kindakindaki Nape kutumbuliwa sasa wao ni nani hadi wajiamini.
Dr Slaa anarejeaDah..... Huu ndiyo Utawala tulioulilia wanyonge toka enzi za Adam na Eva...... Utawala usioangalia sura wala maarufu wa mtu..... Unanyooshwa tu ukileta ujinga......
Hata Uhuru wameandikaGazeti lenyewe lililoleta taarifa hio ni la kufungia maandazi
Nilivyowaona Mwakyembe na Kabudi siku ya kuapishwa nikakumbuka jinsi mbunge "kibajaji" anavyojiamini.Hapa Tanzania sina hakika kama elimu imetusaidia sana!Tatizo la kuogopa kutumbuliwa kazi ambayo hukuiomba ni tatizo la wapumbavu, kama aliwaamini akawapa nani aliwahakikishia lazima wamalize miaka 5? kwani uwaziri ni ubunge? hata ubunge kama ulikiuka baadhi ya kanuni utatenguliwa, waache woga maana wanampa sababu ya kuwaburuza, wafanye kazi wakiachishwa wasonge mbele kwa furaha tu..
Ukimzarau mbwa anae kupa taarifa ya msiba wa bibi yako ukipotezea utakuta wamesha zika..Gazeti lenyewe lililoleta taarifa hio ni la kufungia maandazi
Dah.... Safi sanaDr Slaa anarejea
Na kutishiwa Bastola iwe ni haki yao wote watakaotumbuliwa. Wasilalamike kabisa.Tatizo la kuogopa kutumbuliwa kazi ambayo hukuiomba ni tatizo la wapumbavu, kama aliwaamini akawapa nani aliwahakikishia lazima wamalize miaka 5? kwani uwaziri ni ubunge? hata ubunge kama ulikiuka baadhi ya kanuni utatenguliwa, waache woga maana wanampa sababu ya kuwaburuza, wafanye kazi wakiachishwa wasonge mbele kwa furaha tu..