Bunge lijalo Waziri Mkuu atapona?

Bunge lijalo Waziri Mkuu atapona?

Chadema hangaikeni na Makonda tu,2020 sio mbali msiseme tu mmeibiwa kura
 
Wadau nawaza tu kuhusu yanayoendelea ktk nchi yetu je waziri mkuu atapona kama kweli makonda hatakuja dodoma kuhojiwa na kamati ya bunge kwa kidhalilisha bunge la jamhuri yetu ya muungano.

Asipokuja je kura ya kutokuwa na imani na wazir mkuu isipigwe kwa sababu gani? mimi nawaza tu je huo hautakuwa udhalilishaji mkubwa kuliko uliotangulia? Nauona mfarakano mkubwa bungeni ukitokea.

Naibu spika aliweza kuwanyamazisha wale wabunge wa upinzani na hili atajitokeza kuilinda serikali tena? Nahakika kabisa akina msukuma hawatanyaaza hata siku moja katika hili.

Karibuni wadau
Hebu acheni udini banaaa nyiee banaa
 
Kama kweli Raisi amemzuia Bashite asifike mbele ya Kamati ya Haki ya Bunge! Na Bunge kutokula shani mmoja na PM. Basi wapiga kura tutakuwa tumedhalilishwa. Kwa Nchi ya demokrasia Bunge ndiyo Msemaji wa Mwisho kwa niaba ya Wananchi.
 
Inatakiwa bunge likivunjwa wabunge wa ccm kabla ya kukihama chama chao wakubaliane na upinzani kurudi kwenye majimbo yao waliyoshinda wakiwa ccm, then wahamie upinzani na kugombea majimbo yao kwa kofia ya chama kingine, tuone kama chama hakijamfia mikononi
 
Unataka wafanyeje wakati siasa ya wazi ilisha zuiwa?
Mbowe yupo Tanga anafanya siasa huko na kawasimanga wakazi wa huko kwa kuichagua ccm.Mazwazwa ndio mnakubali kuambiwa siasa hakuna
 
Wadau nawaza tu kuhusu yanayoendelea ktk nchi yetu je waziri mkuu atapona kama kweli makonda hatakuja dodoma kuhojiwa na kamati ya bunge kwa kidhalilisha bunge la jamhuri yetu ya muungano.

Asipokuja je kura ya kutokuwa na imani na wazir mkuu isipigwe kwa sababu gani? mimi nawaza tu je huo hautakuwa udhalilishaji mkubwa kuliko uliotangulia? Nauona mfarakano mkubwa bungeni ukitokea.

Naibu spika aliweza kuwanyamazisha wale wabunge wa upinzani na hili atajitokeza kuilinda serikali tena? Nahakika kabisa akina msukuma hawatanyaaza hata siku moja katika hili.

Karibuni wadau
Kwani Waziri mkuu anaumwa? Rekebisha kauli
 
Zito anamuandalia mikakati ya kumtoa......mimi nashaur upinzani kwa sasa wa invest zaid vijijini..2020 ndo tutajuana apa tz...make mjini tunajielewa ila issue ni vijijini na ndipo wapo watu wengi sana.

Hata mjini bado kuna vizombi vingi tuu kama kina le mtumboz aka kubwa jinga big head makaptula
 
Jamii forum mnaiabisha sana ccm badala kujadili maswala ya kitaifa kama yalivyo mnaingiza uchama sjui kwanin...mnnaboa sana..kuna wemgine tupo hapa hata vyama hatuna,lkn tunapokutana na hoja zenu kila wakat mnajitambulisha kwa vyama venu kuna wakt vyama viweken pemben
 
Naombea wabunge waungane kuikataa serikali hii inayokumbatia wala rushwa, wezi, kuendekeza double standard , kutoa vitisho na dharau kwa wananchi na umungu Mtu wa Mtu tuliyempangisha hapo magogoni. Tukubaliane kuanza upya kuliko kuwa na uongozi wa hovyo kiasi hiki. Nchi hii Si mali ya Mtu mmoja bali ni nchi ya Watanzania wote. Wapeleke tabia zao huko Rwanda Na Burundi
 
Bunge lijalo waziri mkuu atapona? Kwa Bunge lipi?Licha ya kupata ugonjwa hata harara hapati.Kwanza Kuna CCM (Mgando),CCM (Makonda),CUF/CCM B(Lipumba).Kumebaki nini tena?
Umesahau ccm-msukuma,ccm-Nape nk..
 
Back
Top Bottom