Recent content by princeanuu

  1. P

    JamiiForums Tanzania Mambo sita yanayotushangaza WanaChadema wazalendo

    Duuu elimu nzuri sana hii ila mapenzi yangu na mahaba kwa lowasa tuingoe kwanza ccm wakajifunze adabu
  2. P

    JamiiForums Tanzania Sababu 10 tu kwanini Magufuli ana nafasi kubwa ya kushinda uchaguzi 2015

    Na mimi ntampa kura lowasa
  3. P

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri: Mkutano wa Lowassa Kisiwani Pemba - Oktoba 03, 2015

    Kiembe samaki gani yenye milima mnafiki mkubwa weee hiyo ni pemba na mimi ndio niliko
  4. P

    JamiiForums Tanzania Chanel 10 yajichanganya na kurusha ukweli wa mkutano wa Tanga

    Azam Jee au dicoder yako inapata channel ten tu
  5. P

    JamiiForums Tanzania Chanel 10 yajichanganya na kurusha ukweli wa mkutano wa Tanga

    Na ITV jee
  6. P

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Tanga: Mkutano wa Mgombea wa CHADEMA, E. Lowassa - Septemba 28, 2015

    Nampenda mabadiliko napenda ukawa mungu tusaidie tushinde na ccm wakubali.kushindwa kwani sote ni ndugu na rutaendelea na maisha baada ya uchaguzi
  7. P

    JamiiForums Tanzania ITV imepotosha habari ya usiku juu ya Magufuli

    Tutakutana kwenye kisanduku wache wadanganye tu
  8. P

    JamiiForums Tanzania Privatusi Karugendo: Si Magufuli wala CCM, ni maslahi mapana ya Taifa letu

    Mwaka huu hatufahamu vizuri ni nani aliyemshawishi kugombea maana tuliona hakuwa hana nguvu kubwa.( Basi ulizia kabla ya kufanya mamuzi)
  9. P

    JamiiForums Tanzania Citizen tv ya Kenya inaonyesha kampeni za Lowassa tu

    Ndio rais tunaemtarajia
  10. P

    JamiiForums Tanzania Kesho Lowassa kuifuta rasmi CCM mikoa ya Kusini

    Viva lowasa
  11. P

    JamiiForums Tanzania Haya ndo mabadiliko tuliyokuwa tunataka

    Huwo ni wajibu wake sio kwani aliajiriwa kwa kazi gani
  12. P

    JamiiForums Tanzania Mgombea mwenza kurejea CUF

    Nashangaa watu wanabuni upuuzi tu
  13. P

    JamiiForums Tanzania Mama Janeth Magufuli agoma kukampeni, acharuka

    Hahaaaa duuu
  14. P

    JamiiForums Tanzania Kutoka Morogoro: Mkutano wa Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

    Heeee Asalam Alaykum Wana Morogoro
Back
Top Bottom