Nimeshangaa kweli na mm
Hii ni ya mmiliki wa magazeti ya Mwananchi na The citizen najua yule muhindi ndiye mmiliki na anatoa mkwanja kwa jamaa sana nasikia.
Mgombea wa ccm hawezi..lugha ya kigeni nayo ni tatizo
Mgombea wa ccm hawezi..lugha ya kigeni nayo ni tatizo
wana jf
naomba kufahamu kama cetezen tv ya kenya inaripoti matukio ya lowasa kwenye kampeni zake na nikwanini lowasa tu siyo magufuli
Nani kakudanganya wewe? Dr. Utamlinganisha na wa ku unga unga?