Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,302
- 9,810
Dah bora kijana sisi tushashtuka kitambo bhnaa we njoo uku CCM hakuna figisu figisu
Kaka imeniuma sana
Nmeamua kuandika haya ya moyon
Chadema iliyogharimu maisha na damu zetu leo inatusaliti
Kwakweli ninampa magufuli kura yangu
Chadema maslahi mnajishusha sana, yaani mtu yeyote akiandika points za msingi ni wa lumumba, kwamba chadema hamna wa kuandika point?
Mnazidi kujivua nguo!
Achaneni na ukawa!
Ukawa habar ya moto kwenu lumumba!
Mnahaha na hilo mnalijua!
Hamuamin kama ndo mnakabidhi nchi hivo!
***** lazima akili ziwakae sawa kuku wa maziwa nyie!
Mwandiko tu ni ccm,kilicho andikwa ni ccm uchochezi,ujumbe wenyewe pumba tu.ccm oyeeeeee
Sijui kwann makamanda tumelogwa namna hii
Mungu atuvushe salaama
Siamn kama ndio chadema hii ya leo iliyosababisha nikalala segerea
Kaka unajua ukiangalia kishabik bila kuwa analytical kisera utafurah kinao.geza watu lakin ni akina nan hao,so hakuna kipya chadrma zaid ya kuimalizia hii nchi naona bora hawa ccm wao wakata mifisad wanasafisha chama.umewai fikiria kaka lowasa kaanza kugawa pesa tangu ndan ya ccm bado paka sasa nan anafadhir hii michezo na atawalipaje.waru wenyewe wakina rostam na karamagi,kuna taarifa hawa jamaa wameahidiwa kuuziwa mikum na serengeti
Kwako zinaweza kuwa points kwakuwa ndio uwezo wako ulipoishia,kwa wenzako ni pumba
Peleka unafiki huko gamba mkubwa unaleta uharo gari la mabadiliko lishawaka
Mngebadilisha basi hata ID tofauti na hizi tulizozizoea za mazombie wa Hapo Lumumba! Nimemwomba Kinana atengue ajira zenu na amwajibishe aliyewa recruit! Mnaiaibisha sana ccm!
Asante kijana
Ila jua mmetuharibia chama
Maana enzi za bavicha yetu tulikuwa na hoja mpaka ccm walikuwa hawatak midahalo
Leo chadema tunakimbia midahalo?
Be gone lowasa!!!!!