Sababu 10 tu kwanini Magufuli ana nafasi kubwa ya kushinda uchaguzi 2015

Ww ndio hautampa kura Lowassa na UKAWA, ula wenzako wote watampa kura. Subir bado siku 17 ndio utaelewa zaidi. Endelea kujipa matumaini kama mgonjwa anaesubili kufa

- Siamini umeamua kunipeleka kwenye njia hiii kweli unataka tuongelee afya zetu na za wagombea? hahahahahah

le Mutuz
 
- Fiesta kwenye kampeni ni part of the game hahahahaha this is a war, hakuna kupangiana silaha mmeshindwa na mnajua!!

le Mutuz

Ule mradi wa taka ngumu umeishia wapi? Watoto wanalia njaa, tumechoka ombaomba ya mama huku ughaibuni!
 
- Siamini umeamua kunipeleka kwenye njia hiii kweli unataka tuongelee afya zetu na za wagombea? hahahahahah

le Mutuz

Kura ni kwa Lowassa2.
Mm ni mwana CCM, kadi ya chama ninayo. Ila kwa mwaka huu naombeni mnisamehe, kura yangu ni kwa Lowassa. Awe mgonjwa, awe mzima, jua liwake, mvua inyeshe ili sitobadili msimamo wangu.

Diwani na Mbunge wao watapata kura yangu wala wasijali, ila huyu msukuma mwenzangu kwa kweli simpi.

Ukitaka nikupe 7bu za kwann simpi naweza kukuorodheshea pia
 
- Fiesta kwenye kampeni ni part of the game hahahahaha this is a war, hakuna kupangiana silaha mmeshindwa na mnajua!!

le Mutuz
kitaalam watu wenye maumbo kama lako huwa na matatizo ya akili, na round hii yule bilionea wako unayemkuwadia mademu ashapigwa chini hata kabla ya uchaguzi sijui utakula wapi, lazima upakatwe mwaka huu!
 
Kaka usiharibu uhondo kwa matusi. Mwaga hoja
 
lemutuz thibitisha ni wap dr slaa alisema mbowe kapewa billion 10 Na tueleze ni vip lowasa katumia hizo billion 106 Na pia unaeza ku thibitisha anaumwa Parkinson's Na unachekesha unaposema wana ccm milion 7 watampigia maguful inamaana out of 23mill kura mill7 zitampelelka john magogon usiwe bias kaka we ni kada naona umeanza kaopereshen huku jamii forums bt u know the truth uchaguz wa mwaka huu ni 50/50 know one knows
 
Kura ni kwa Lowassa2.
Mm ni mwana CCM, kadi ya chama ninayo. Ila kwa mwaka huu naombeni mnisamehe, kura yangu ni kwa Lowassa. Awe mgonjwa, awe mzima, jua liwake, mvua inyeshe ili sitobadili msimamo wangu.

Diwani na Mbunge wao watapata kura yangu wala wasijali, ila huyu msukuma mwenzangu kwa kweli simpi.

Ukitaka nikupe 7bu za kwann simpi naweza kukuorodheshea pia

Orodhesha
 
Mkuu Le Mutuz! Kwa kanuni za wasomi unapofanya analysis kama hiyo ulitakiwa uweke wazi kwanza maslahi yako ili wote watakao soma maoni yako watambue kama kuna mgongano wowote wa kimaslahi kati ya hicho ulichokiandika na nafasi yako katika chama. Mimi ninavyofahamu mbali na nafasi mbali mbali ulizonazo kwenye chama wewe pia ni mjumbe wa team ya kampeni iliyoteuliwa na jumuiya ya wazazi Taifa. Na bila shaka ulipewa kitengo cha kampeni kwenye mitandao kwa kuwa sijakuona wala kukusikia ukiwa jukwaani. Sasa mawazo yako yaeleweke vizuri tuambie kwanza kama ni kweli wewe ni mjumbe wa hiyo kamati ya kampeni ya Jumuiya ya Wazazi au sio kweli?
 
Ukiona mtu amejipinda kuandika halafu amepata like moja tu..basi jua alichoandika ni sifuri..watu sampuli hii hata walipokuwa shuleni ilikuwa maelezo mengi point sifuri. Hivi Le Mutuz matokeo yako ya Form Six ni kweli ulizunguusha???
 
kitaalam watu wenye maumbo kama lako huwa na matatizo ya akili, na round hii yule bilionea wako unayemkuwadia mademu ashapigwa chini hata kabla ya uchaguzi sijui utakula wapi, lazima upakatwe mwaka huu!

- hahahahah ila wanoajinyea wanakuwa na akili sawa sawa eti? hahahahah sure nitakuwa nilimkuwadia wewe mwenyewe maana sio rahisi mtumzima kama wewe kurukia maneno usiyoyajua pole sana nilikukuwadi kwa pesa ngapi eti? hahahahaha angalia Star TV sasa uwanja wa mashujaa umetapika Moshi Downtown hahahahahaha

le Mutuz
 
Ukiona mtu amejipinda kuandika halafu amepata like moja tu..basi jua alichoandika ni sifuri..watu sampuli hii hata walipokuwa shuleni ilikuwa maelezo mengi point sifuri. Hivi Le Mutuz matokeo yako ya Form Six ni kweli ulizunguusha???

- hahahahahaha umekuja kujibu ujinga usiokuwa na like hata moja? jhahahahaha huoni unajisema mwenyewe kuwa ni mburulazzz hahahahahaha

le Mutuz
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom