Haya ndo mabadiliko tuliyokuwa tunataka

Haya ndo mabadiliko tuliyokuwa tunataka

foyo mwalongo

Member
Joined
Sep 6, 2015
Posts
46
Reaction score
6
Siku zote mabadiliko ni ya vitendo so polojo za hapa na pale tunakupongeza sana magufuli kwa Kazi kubwa uliyoifanya usiixhie hapo endelea m4c.:thumbup:
 
Attachments

  • 1442645652337.jpg
    1442645652337.jpg
    80.8 KB · Views: 561
Maguful n mtendaji, tunataka rais anaejielewa
 
Maguful n mtendaji, tunataka rais anaejielewa

Kwa hiyo unamaanisha ndo Magufuli au hautaki rais Mtendaji? unataka boya?? rais asiye mtendaji??
JPM NDO RAIS, anajaza nafasi zote! Sio kama wale ambao hawajiwlewi na mgombea wao, eti kajiunga chama chao akitokea siaiemu huko alikuwa kwa zaidi ya miaka arobaini alafu kwao kaka wiki mbili eti wanampa agombee urais kwa chama chao, na yeye akakubali! HAJITAMBUI.
 
Tuweni makini na wagombea, wengi wao wapo kwaajiri ya pesa.
 
Tunataka mabadiliko ya utawala wa chama na ndipo tutapata maendeleo kwa kasi na kuipita Rwanda, Kenya ,Botswana n.k

Siku zote mabadiliko ni ya vitendo so polojo za hapa na pale tunakupongeza sana magufuli kwa Kazi kubwa uliyoifanya usiixhie hapo endelea m4c.:thumbup:
 
Anatakiwa raisi wa nchi sio raisi wa madaraja. Magufuli hana sifa
 
Siku zote mabadiliko ni ya vitendo so polojo za hapa na pale tunakupongeza sana magufuli kwa Kazi kubwa uliyoifanya usiixhie hapo endelea m4c.:thumbup:

Ulitaka nani afanye iyo kazi

Kwani magufuli kazi yake ni nini kupiga picha??
 
Jamani hilo daraja ni Tanzania?basi Magufuli 4C ni noma
 
Rwanda mkuu wako juu kiuchumi .Pesa yao iko juu zaidi .Ukiwa na Franc ya Rwanda moja (1RWF) =3.11762TZS.

Ukiwa na Laki moja ya Rwanda ukibadili unapata sh 311,762 za kitanzania na kinyume chake ni sahihi:A S 41:

​

Kwani rwanda ina uchumi gani kutuzidi?
 
Back
Top Bottom