Baada ya kuwepo maneno mengi toka kwa baadhi ya wapenda mabaya kuwa mapato yameshuka, kuwa ukusanyaji umekuwa mdogo, uchumi ni mbaya, nchi inadorola na maneno mengi ya kukatisha tamaa hatimae TRA wametoa taarifa sahihi za mapato toka mwaka jana hadi 6/2017.
Maendeleo ni hatua, kufanikiwa...
Siku kadhaa baada ya Mheshimiwa rais kuwasilisha hati ya dharula kwa spika kutaka bunge litunge sheria mpya ya madini na sheria hiyo kupita kwa kishindo japokuwa kulikuwa na wasaliti wachache waliotaka kukamisha zoezi hilo, imeonekana sasa mali za watanzania zitakuwa salama kwa sheria hii mpya...
the plain fact is most of the so called waheshimiwa, who made some of us re-asses our creativity and brains that we were not making a hefty dough coz we were not sharp.... are crapping their pants....got in a restaurant sometimes ago and was given less of customer attention coz Malinzi popped in...
Wewe pia nina mashaka na akili yako, chapisho lake kwa mtu yeyote mwenye akili lazima atalidharau
"Pia ziko taarifa kwamba akipatikana mtu mgeni kwenye eneo fulani kwa maana ya kwamba serikali ya eneo Hilo kutokumtambua basi atauwawa" this is bullshit, malicious, misinformation and...
Tatizo inayoongea ni Divisheni four ya kumi na nane, watu wana silaha na risasi... wananchi wema wametoa taarifa zikafanyiwa kazi ila kwa kuwa habari hasi ni mlo wako wa lazima kila siku huwezi kuona mema.....when the room is full of light clown like you pull down the curtain.....shameless evil
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.