Prince_Mashine
Member
- Jul 9, 2017
- 10
- 4
Baada ya kuwepo maneno mengi toka kwa baadhi ya wapenda mabaya kuwa mapato yameshuka, kuwa ukusanyaji umekuwa mdogo, uchumi ni mbaya, nchi inadorola na maneno mengi ya kukatisha tamaa hatimae TRA wametoa taarifa sahihi za mapato toka mwaka jana hadi 6/2017.
Maendeleo ni hatua, kufanikiwa kuongeza ukusanyaji wa kodi kwa asilimia 7.6% ni jambo la kheri na la kupongezwa na wale wote wenye nia njema na nchi.Kesho ya watanzania itakuwa nzuri kama mapato yatakusanywa Zaidi, miundombinu, afya na elimu kwa kiasi kikubwa vimekuwa vikiboreshwa kwa kazi hii nzuri ya TRA na Rais pamoja na serikali yake kwa ujumla, heko pia kwa waziri wa fedha kwa kuonyesha kwa mfano jinsi ya kudai kodi ya watanzania.
Things are really looking up