Unagawa kwa raha zako.... KWani kazi lazima.... Mpaka unamvulia kila siku...Umependa mwenyewe.... Halafu unakuta hata kondom hautumii.....???? Ukifka home unamlisha mumeo hayo makombo.....
Utakufa vibaya wewe...Endelea na kahaba....
Unajua na wewe kama umepanic tu...!
Yeye amekuheshimu ndio maana ameamua muanze kurasa mpya... /
Wewe muulize ana nia gani na wewe afu ukimuelewa muanze kula maisha....
Kama ni mtu wa msaada sana kwako kwanini msifurahi pamoja.....
Tatizo ni wewe kujikuta wa tamthilia sana....
Ingekuwa ni...
Huyu naye ni single mother au single XXx....???
Watoto wa tatu ..???
It is a NO NO..... Wakati kuna mabinti wadogo kabisa na warembo wa kuanza nao family,.... Anapo zidisha mtoto zaidi ya mmoja inakuwa sio tena..... Khaaaaa.....
Ni kweli wamekosea ila kuna kitu kinaitwa UUNGWANA.... Afu na wewe pia sio mstaarabu kama unavyodhani ndio wachangiaji wengi wamekuona wewe ni mchoyo.
Afu pia chakula sio ishu wengine hapa hata kula ni kama kazi fulani hivi... full uvivu...
Hayo mambo ya kuwekeana share ulitakiwa kuongea na...
Hivi vitoto vya primary vinakuja kufanya nini huku..????
Maswali ya kise*ge haya usitupotezee muda.... Muulize mzazi wako ..... Halafu tunashngaa haya matoto yanapata ZERO... SHenzi kabisa.... KAsome boya wewe....
Kama utakula hayo mapenzi endelea.... Tutakukuta barabarani na unaosha vioo...
Safi sana mkuu... Tatizo limeshatokea kama mwanaume unapamabana nalo kwa mikakati afu unasonga mbele...
Yote yata kwenda sawa tu mkuu...
Lubebenamawe Nina swali dogo ili kupata ujuzi tu wa mila za wenzetu... JE, Watu wa Korea na jamii zao wana mila za kuoa zaidi ya mke mmoja ..??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.