Kisasi: Mke wa Boss ndani ya 18 zangu

Kisasi: Mke wa Boss ndani ya 18 zangu

Alikua demu wako ni vizuri badala ya kufanya hivyo muwe karibu hata siku mkutanishe familia zenu pamoja.

Wewe unafamilia na yeye anafamilia uongozi ni lawama nyie ni watu wazima kwa sasa mlikua na wakati mzuri kipindi hicho kwa sasa haina tija kwenu.

Kisasi ni ujinga tu maisha ni haya haya yaweke yawe na amani kumukua na wajinga wanajiona wao wana kila kitu mwisho wao huwa mbaya achana na hilo wazo litaishia vibaya.
 
Pongezi za kuugawa na kuanza ngwe nyingine ya mwaka.

Katika msimu huu wa sikukuu tukufu tulipata bahati yakukutana sisi wafanyakazi wa kampuni yetu hii kwa upande wa kanda ya kaskazini.

Tulikutana ma branch manager woote jijini Arusha tukiwa na Zonal manager wetu.

Zonel manager wetu ni kijana tu ambaye tumelingana na sote tulikua ma branch manager sema mwenzangu akawa promoted to Zonal manager.

Chaajabu tangia awe Zonal manager akabadilika vibaya mno akawa hatusalimiani anatufokea kama watoto wadogo mbaya zaidi anatutukana even mbele ya watu tunaowaongoza.

Amenipa hard time saana kazini mpaka nikafikiria niache kazi lakini niliona upumbavu nikiacha kwa ajili yake so nikajitahidi kumchanchia na yeye at least twende sawa, mpaka nimemzoea.

Sasa katika kukutana na kusheherekea sikukuu ya Eid kiofis ndo ilibidi tukutane Arusha, kwa upande wangu sikwenda na mke wangu nikijia huyu tunaenda kukutane nae anaweza nidhalilisha mbele ya mke wangu.

Kufika Arusha managers wenzangu walifika na wake zao akiwa na yeye Zonal, Jamaa alimsifia saana mke wake akidai ni mzuri kabla hajafika.

Hamadiii...huyooo akafika ghafla kutaamaki ni Xgirlfriend wangu kipindi nasoma Advance, mbaya zaidi nilimsaidiaga sana katika matatizo aliyokua nayo hata ya kifamilia financialy.
Tulikuja kupoteana nae baada ya mimi kwenda Uganda kusoma na kurudi pale kwao walihama na mimi nikaanza mishe na wanawake wengine.

Kiukweli tulishikwa na butwaa saana hatukuisha kutazamana hasa yeye akiwa na macho ya machozi flani hivi.
Wakati naenda chooni nae aliinuka baada ya muda akaelekea huko huko kwakua ni sehemu iliyotenganishwa na ukuta kumbe alikua akinisubiri...

Alinikumbatia nakuanza kulia akisema hato nisahau katika maisha yake na bado hakuna aliweza chukua nafasi yake, maneno yake yalinichoma sikuweza kumjibu kitu nikamuacha mpaka tunaondoka kuagana.

Tatizo:
Amepata namba yangu na leo amenipigia simu akidai anamaongezi na mimi nilicho mjibu nina kazi niko bize.
Je akileta mambo yakuridiana nimkubalie ili nimkomeshe huyu Zonal Manager wetu kwa matusi na dharau anazo nilitea?? Au nimpotezee nitafute kisasi kingine???

Karibuni kwa ushauri.
ita kunufaisha na nini sasa?, lengo lake ni kumuumiza ina mahana utamwambia kuwa umetembea na mkewe ili aumie? kumbuka asipo jua hatoumia! asipo umia utakuwa hujafanikiwa kumkomesha. nashauri uachane na biashara hizi.........
 
Kisasi ni kazi ya mungu wewe ni nani hata ulipizw kisasi? Samehe Mara saba sabini ili milango yako ipate kufunguliwa, je wewe ukifanyiwa hicho unachotaka kumfanyia mwenzio utafurahi? Uwaonei huruma watoto ambao wataona migogoro ya mama na baba iliyoletwa na wewe? Msamehe kwa aliyokukosea usipende kubeba mizigo moyon maisha yenyewe mafupi
 
Utamkomesha ikiwa tu baada ya kutembea na mkewe halafu unamwambia kuwa umeshamtafunia my wife wake....

Mda huo unauhakika umefaulu interview sehem nyingine.
 
Kutoka na mamboz za boss wako.....Mkuu Tafuna kabisa maana hata Mimi mke Wa boss wangu....ambaye ni kigogo kwa upande wetu hapa wilayani namtafuna kweli kweli.....kilichofanya nimtafunie ni dharau zake....na manyanyaso yake Mkuu ikibidi na mimba MPE na ndogo kutumia usisahau.
 
Wazo la kizushi: Ili uwe ume-revenge itabidi ufanye ajue ulichokifanya, utatumia njia gani kumfikishia ujumbe?

Kinyume na hapo itakuwa sawa na kum-cheat mkeo tu na malaya mwingine tu!!!
 
huku kwetu poa, tuna baridi na mahindi ya kuchoma

Mahindi ya kuchoma dah umenikumbushaaaaaa aisee mwezi wa tatu na wa nne likizo yangu yote niliimalizia shambani aiseee. ngoja nipige simu home walau waniletee mahindi nichemshe! dah umenitia simanzi mkuu....
 
Mpige mashine huyo mtoto... Hivi vi boss uchwara vinatukana sana ila viongozi wenye uweledi hawawezi kufanya mambo hayo....!
 
Back
Top Bottom