Jamani naombeni ushauri kwa hili?

Jamani naombeni ushauri kwa hili?

Ushaamua tayari unataka ushauri katika lipi sasa.

1. Uendelee naye?
2. Uachane nae?
 
Naona umeleta taarifa tu apa maana sijaona sehemu ilokushinda
 
story ipoo ivi kulikuwa na mdada ambaye alizaa na kaka anguu wakaja wakachaaa? - hapo part one
Uyoo dada alikuwa na dada yake - hapo part two
ambaye alikuwa na mtoto wa kike - hapo part three
ambaye ndo anatoka na mimi ni - hapo season finale

sasa wewe unaomba ushauri wa kipi hapo
hahahahaaaaaaa
 
Pumba kabisa umeongea.Soma tena ulichokiandika ww mtaka ushauri.
 
story ipoo ivi kulikuwa na mdada ambaye alizaa na kaka anguu wakaja wakachaaa? - hapo part one
Uyoo dada alikuwa na dada yake - hapo part two
ambaye alikuwa na mtoto wa kike - hapo part three
ambaye ndo anatoka na mimi ni - hapo season finale

sasa wewe unaomba ushauri wa kipi hapo
anaetoka na wewe ni dada ake au huyo mtoto wa kike??
 
Mmmh! Great thinkers wa siku hizi bwana......!
 
Kumbe wewe ni mtoto hvyo hebu nenda kule facebook panakufaa sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom