Recent content by prince dudu

  1. prince dudu

    JamiiForums Tanzania Rais nchi imemshinda

    Hili janga la mafuta Sasa ni jipu kubwa karudia tabia ya kuficha mafuta kama alivyofanya kwenye sukari Enzi zile. Ufisadi Sasa hivi ni wa watu wachache Sana, raisi wetu mtarajiwa ni majaaaliwa.
  2. prince dudu

    JamiiForums Tanzania Jeshi zima LA clouds TV na alikiba wakijaribu kumzima CEO wa wasafi TV (Diamond platnumz)

    Broo waweke na wasanii wengine tena
  3. prince dudu

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Msukuma awagombelezea masanamu Kwa pozi za picha
  4. prince dudu

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Tabia za wanaume wa dar
  5. prince dudu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnaopenda wanawake wazuri kazi kwenu

    Mwanamke mzuri ni kama mshumaa vile japo anatia hasara Sana me siwashauri wanaume kuwaowa wanawake wazuri mtajuta mimi si mnajua kua hainaga ushemeji?
  6. prince dudu

    JamiiForums Tanzania Rais mstaafu J.Kikwete akiwa na wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma Harvard University

    [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] inapendezq
  7. prince dudu

    JamiiForums Tanzania Rais mstaafu J.Kikwete akiwa na wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma Harvard University

    Mbona ya kitambo hiyo aiseeeee
  8. prince dudu

    JamiiForums Tanzania Forex training Dar es Salaam 07/05/2018

    Jamani me naomba kuwe na uzi wa kufundishana upya forex wengine hatujui
  9. prince dudu

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo vikindu mkuranga nije andeni tanga Kwa mawasiriano 0653914723 Idara ya Shule ya msingi
  10. prince dudu

    JamiiForums Tanzania Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

    Hapana kifutu ni mwengine Tena
  11. prince dudu

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Kimada
  12. prince dudu

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na Serikali yetu punguzeni spidi kidogo tutafakari, kwa maana dah!

    Hivi wewe ulieweka huu uzi upo Sawa sana me naona umelewa na rangi ya kijani kichwani kwako eti tumekinai maendeleo loh! Wakati Kenya [emoji1139] ELECTRIC TRAIN [emoji579] imejengwa kitambo tu munafurahia Mali zitakapo enda huko Rwanda
  13. prince dudu

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Bei za chapati, maandazi zapanda

    Tutamuomba mwenyezi mungu mpaka lini wakati msababishaji tunamuona?
  14. prince dudu

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Link [emoji115]above
Back
Top Bottom