Mnaopenda wanawake wazuri kazi kwenu

Mnaopenda wanawake wazuri kazi kwenu

prince dudu

Senior Member
Joined
May 24, 2015
Posts
109
Reaction score
77
Mwanamke mzuri ni kama mshumaa vile japo anatia hasara Sana me siwashauri wanaume kuwaowa wanawake wazuri mtajuta mimi si mnajua kua hainaga ushemeji?
 
kutazama thread yako ndio mwanzo wa kukujua, we ni kichwa panzi
 
Mwanaume akiwa mwoga anakuwa hana tofauti na mwanamke, tafuta tulizo la nafsi yako
 
Back
Top Bottom