Maisha humlazimisha mtu kwenda popote kutafuta riziki hata kama kuna viashiria vya hatari. Maisha ni mapambano. Kuna watu hulina asali hata kama ndani ya mzinga au mti kuna joka kubwa. Tusiwabeze wenzetu wanaoenda nje kujitafutia riziki, wana haki ya kulindwa.
Kwa umri huo na kwa kuzingatia mfumo wa utoaji wa elimu ya awali Tanzania bado hauna tija kwa sababu mtoto wa miaka miwili kisaikolojia inabidi afundishwe social skills tu na siyo masomo ya darasani. Usasa unatuharibu! Shule zetu za awali nyingi zinavuka mipaka yaani badala ya kumfundisha mtoto...
Matatu zimesaidia kuinua uchumi wa Kenya kwa sababu asilimia kubwa zinatengenezwa ndani ya nchi tofauti na Tz ambako magari mengi yanaagizwa moja kwa moja kutoka nje. Ukiwa Nairobi ni nadra sana kuona coster na hiace.
Baba yangu alifariki miaka 10 iliyopita na wakati wa uhai wake alikuwa na wake wawili. Kwa bahati mbaya mke wa pili hakubahatika kupata mtoto. Kabla ya kifo aliniita mimi na mama mdogo (mke wa pili) na kutukabidhi nyumba moja. Kwa kuwa alitukabidhi kienyeji yaani bila vielelezo, mama yangu mdogo...
Taja nchi kumi za afrika na ueleze miaka zilizopata uhuru na kiongozi aliyeipatia uhuru, koloni lililowatawala na ueleze lilipata uhuru kwa njia ya amani au vita.
Ni wakati wa kuchapa kazi ili wananchi hasa wa Dar es salaam waone namna gani jiji chini ya UKAWA linavyobadilika kwa kuwa na maendeleo na si kulalamika kila siku. Kwa kuwa ulialikwa kwa mdomo tena kwa kupitia mgongo wa mtu inawezekana hukuwa mgeni maalumu na kwa maana hiyo kisicho rasmi...
Unaweza kuhama kutoka CHADEMA na kuingia CCM kwa kutafuta fursa lakini baada ya miaka mitano ukajikuta badala ya kuwa chama tawala unakuwa chama pinzani!
Vyama vya upinzani hasa kwa bara la Afrika vinaonekana ni vya msimu kwa sababu msingi mkubwa wa maendeleo wa hivi vyama unategemea udhaifu wa chama tawala. Hivyo ikitokea chama tawala kikafanya vizuri basi upinzani unakosa nguvu. Pamoja na kwamba lengo kuu la chama chochote cha siasa ni kushika...
Alijitahidi maana slogan za uchaguzi mkuu 2015 kwa namna yoyote zililazimika kumlenga au kumwinua mtu na si chama. Wakati UKAWA wakiokolewa na jina la Lowasa, kwa upande wa CCM waliokolewa na Magufuli. ....chagua Magufuli badala ya chagua CCM.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.