Recent content by Prim K

  1. Prim K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

    Kwa kawaida hua unafunga miezi 18 mpaka miaka miwili, Nashauri akamwone dactari kwa evaluation zaidii
  2. Prim K

    JamiiForums Tanzania SoC01 Wahitimu wa Vyuo na Maisha ya utafutaji Mtaani

    Hii itanisaidia siku
  3. Prim K

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kwanini baba hamsindikize mama kliniki?

    Karibuni kwa mjadala
  4. Prim K

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kwanini baba hamsindikize mama kliniki?

    Jitihada za kupunguza matatizo na vifo kwa mama wajawazito ni kipaumbele dunianii kote, jitihada hizi zinatiliwa mkazo Zaidi kwenye nchi zinzoendelea kama Tanzania. Mwaka 2015 shirika la afya duniani WHO limeripoti vifo vya wamama wajawazito 830 kila siku kwa sababu ya matatizo wakati wa...
  5. Prim K

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ndoa ni chanzo cha umaskini Afrika

    Nmeelewa sana makala hii, kwa hiyo mkuu nini hasa chanzo kikubwa na hizi talaka, shida kuu ni ipi, ili tuweze kukwepa
  6. Prim K

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya Prof Ndalichako yanashangaza

    Nichangamoto kubwa...grade zmependa kwend university tena nako shidah
  7. Prim K

    JamiiForums Tanzania Mnaomshabikia Rais wetu mnijibu

    Ni kwel usemalo......lmechange sana
  8. Prim K

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu diploma ya Clinical Medicine

    Af degree ya c. O ndo medicne sasa
  9. Prim K

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu diploma ya Clinical Medicine

    Hapana wanachk ya 4m 4.....
  10. Prim K

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu diploma ya Clinical Medicine

    Hilo ni wazo zurii sana... Sema nn ishu apo n gharama tu y diploma.... Kama unazimudu apo sawa kbsa.... Unapiga.... Tena uwahi nacte mwsho tarehe 5 kuombaa
  11. Prim K

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu diploma ya Clinical Medicine

    Atakua pcb huyo
  12. Prim K

    JamiiForums Tanzania Msaada mwisho wa kuapply vyuo kupitia TCU

    Ni lini mwsho wake ili selection zianzee
  13. Prim K

    JamiiForums Tanzania Lembeli: Sirudi CCM Ng’o!

    Strong decision
Back
Top Bottom