Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 11,515
- 14,238
Hawa hawajui cash flowAfanye kazi gani ili awe na maisha mazuri?

watu hawajui kutofautisha kati ya Job na Employment.Hiyo yake nayo ni kazi au kujikwamua? Halafu ambao hatuna kazi ndio tunakazana kila siku kubwabwaja "fanya kazi kwa bidii"
Ivi kazi gani hasa izo unazosema tufanyeFanyakazi utayaona maisha katika mwanga ulio bora la si hivyo utalalamika sana. Rais anafanyakazi nzuri sana.
sawa hatujakataa lakini kwanini yazidi kuwa mabaya kuliko aliyemtangulia na alikuwa dhaifu
Wewe umezoea kushika UKUTA, huwezi kuelewa lolote . subiri sept 1, uushike tena na utakoma mwaka huu vilainishi vimepigwa marufuku.Mimi naomba wanaoshabikia utawala huu wanipe majibu alichowasaidia wao mpaka sasa ni kipi?
Je kuna kitu gan kafanya kuleta unafuu wa maisha?
Sizuii rais kubana pesa ikose mtaani but navyojua kinyume cha kubana hela basi ni kushusha bei ya bidhaa maana pesa haipo
Sasa huu utawala pesa mtaani hakuna lakin vitu vinapanda bei kuchwao
Nyie mnaompenda kawafanyia nini mpaka sasa?
Hata kushika UKUTA nayo ni kazi hasa kwa mtu anayejua kubinuka kama yeye.Afanye kazi gani anasubiri ajira kwenye Serikali ya viwanda wewe kuosha viatu hapo lumumba nayo unasema hapa kazi tuu.?
Mimi naomba wanaoshabikia utawala huu wanipe majibu alichowasaidia wao mpaka sasa ni kipi?
Je kuna kitu gan kafanya kuleta unafuu wa maisha?
Sizuii rais kubana pesa ikose mtaani but navyojua kinyume cha kubana hela basi ni kushusha bei ya bidhaa maana pesa haipo
Sasa huu utawala pesa mtaani hakuna lakin vitu vinapanda bei kuchwao
Nyie mnaompenda kawafanyia nini mpaka sasa?
Mkuu mimi sijaona mabadiriko katika maisha yangu sana sana kuna nafuu ya mshahara wangu umepanda na biashara zangu za kutotoresha vifaranga zimetengamaa baada ya umeme kuwa wa uhakika. Labda wewe ndiye utueleze umepungukiwa nini tangu aingie madarakaniMimi naomba wanaoshabikia utawala huu wanipe majibu alichowasaidia wao mpaka sasa ni kipi?
Je kuna kitu gan kafanya kuleta unafuu wa maisha?
Sizuii rais kubana pesa ikose mtaani but navyojua kinyume cha kubana hela basi ni kushusha bei ya bidhaa maana pesa haipo
Sasa huu utawala pesa mtaani hakuna lakin vitu vinapanda bei kuchwao
Nyie mnaompenda kawafanyia nini mpaka sasa?
Hii ni ajabu, Kijana analalamika ugumu wa maisha ilhali kuna mzee huko Igunga ana mfurahia rais hadi anatamani kumtuza pesa Mh rais! Mi nafikiri vijana tusaidiane kupambana na maisha malalamiko hayatatufikisha popote.Mimi naomba wanaoshabikia utawala huu wanipe majibu alichowasaidia wao mpaka sasa ni kipi?
Je kuna kitu gan kafanya kuleta unafuu wa maisha?
Sizuii rais kubana pesa ikose mtaani but navyojua kinyume cha kubana hela basi ni kushusha bei ya bidhaa maana pesa haipo
Sasa huu utawala pesa mtaani hakuna lakin vitu vinapanda bei kuchwao
Nyie mnaompenda kawafanyia nini mpaka sasa?
Kadhibiti mfumo wa mafisadi na waliokuwa wananufaika naoMimi naomba wanaoshabikia utawala huu wanipe majibu alichowasaidia wao mpaka sasa ni kipi?
Je kuna kitu gan kafanya kuleta unafuu wa maisha?
Sizuii rais kubana pesa ikose mtaani but navyojua kinyume cha kubana hela basi ni kushusha bei ya bidhaa maana pesa haipo
Sasa huu utawala pesa mtaani hakuna lakin vitu vinapanda bei kuchwao
Nyie mnaompenda kawafanyia nini mpaka sasa?
Tunaishi kama mashetani kucha ndefu masikio marefu nywele hazichanwi.Kweli hali imekuwa ngumu sana sio siri jamani
Na baadhi ya bizaa ambazo zimezuiwa kupelekwa nchi jirani je??? Endelea kulanguliwa huko uliko.Muda wa kutumia bado,kwanza tuntafuta! Hata mwaka bado aziachieee....shikilia hapohapo baba...si tunalima huku hao wa mjini watakula midomo yao...