Naomba ushauri kuhusu diploma ya Clinical Medicine

sonofdory

Member
Jul 4, 2016
78
38
Wanajamvi,
Mimi nmehitimu form six mwaka huu na matokeo yangu ni division 3.13 ya DDE.

Sawa nina D mbili ila ndoto yangu ni kuwa daktari na kwa alama hizo siwezi kusoma degree ya udaktari! Nimeapply TCU kozi za afya ya wanyama japo sikuwa na ndoto hiyo na uhakika wa kuchaguliwa ni mdogo.

Nimepata ushauri kuwa kama ninahitaji kuifikia ndoto yangu nikasome diploma ya Clinical Medicine. Nahitaji ushauri tu kuhusu kusomea diploma ya Clinical medicine. Nini advantages na disadvantages zake?
 
Hilo ni wazo zurii sana... Sema nn ishu apo n gharama tu y diploma.... Kama unazimudu apo sawa kbsa.... Unapiga.... Tena uwahi nacte mwsho tarehe 5 kuombaa
 
Hilo ni wazo zurii sana... Sema nn ishu apo n gharama tu y diploma.... Kama unazimudu apo sawa kbsa.... Unapiga.... Tena uwahi nacte mwsho tarehe 5 kuombaa
Ahsante blaza! Lakini kuapply diploma kwan hua wanaconsider matokeo ya form six??
 
Back
Top Bottom