Recent content by pretta360

 1. pretta360

  TRA ilivyofifisha ndoto zangu, kujiajiri Tanzania ni zigo la misumari

  Pole Sana mkuu,mi nakushaur uwe na mwanasheria wako kwny Kaz zako,Akusimamie haki zako,na Mungu akutangulie katika Kaz zako
 2. pretta360

  Sikuwahi kuamini Kuna watu wanakula Bata kiasi hiki

  Kabisa Anazingua 😀
 3. pretta360

  Sikuwahi kuamini Kuna watu wanakula Bata kiasi hiki

  Laki na ishirin hela ndogo Sana kwa Bata la group lote hilo,incase labda unalila pekeako kidogo nafuu
 4. pretta360

  Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

  Hiv warumi alifariki Lin??na je alikua ni wa kiume au wa kike?
 5. pretta360

  Nimevurugwa na nilichokiona, naombeni msaada wenu

  Nenda kwa wachungaji wakuombee,pole Sana,km ni kwel inatisha sana
 6. pretta360

  Muda wa chakula hasa mchana na jioni huwa napiga sana miayo

  Wengine husema huenda sukari yako imeshuka,cna uhakika lakin ni habar nilizisikia mtaan
 7. pretta360

  Musoma: Ahama nyumba kutokana na visa vya wanyama kama nyoka, Simba, Chui na moto wa ajabu

  Wangeita watumish wa Mungu, waweke Kambi, ni maombi tu na kuabudu, Wanga wangekimbia
 8. pretta360

  Nimefukuzwa kazi leo, kama umeajiriwa jifunze kitu hapa

  Pole mi mwenyewe nilishapataga mtihan km huo ,hakuna hata mmoja alotuma sms ya pole hata ya kinafik,tena yule ambae nilikua department nae moja na lift alikua akinipa mara kwa mara ,lakin Kuna kipind nilikua nikipishana nae Yuko kwny pikpik yake hata salaam hakuna,nam nikawapotezeaga mazima na...
 9. pretta360

  Naomba ushauri: Mpangaji wangu msumbufu kulipa kodi nataka nifungie vitu vyake

  Ila we jamaa una roho ngumu kumdai pesa mtu anaumwa looh,
Top Bottom