Recent content by Premierleague

  1. Premierleague

    JamiiForums Tanzania KERO Arusha ina mpangilio wa ovyo katika usafiri wa umma

    Stand ya mwenge ni airport kwa Arusha no wonder wamempa makonda awasaidie
  2. Premierleague

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanamitindo Giorgio Armani afariki Dunia akiwa na umri wa miaka 91

    Nguli wa mavazi huyu
  3. Premierleague

    JamiiForums Tanzania Kwa tangazo hili la TRA naanza kulipa kodi

    Lipa kodi another chicken head😂
  4. Premierleague

    JamiiForums Tanzania Kwa tangazo hili la TRA naanza kulipa kodi

    Ikiwa unafatilia uchambuzi hasa kutoka tbc utaona tangazo zuri sana kutoka mamlaka ya mapato likielezea faida mbali mbali zilizopatikana na zitakazopatikana kwa kulipa kodi Kwa kweli limenihamasisha kulipa kodi ili kuchangia maendeleo Oktoba tututututu(in lusekelo voice)
  5. Premierleague

    JamiiForums Tanzania Chalamila mjanja sana. Kwa ahadi zile Alijua tu Stars haivuki

    Crown mpya bei gani!?
  6. Premierleague

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

    Bora tusingeongoza makundi
  7. Premierleague

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 Niliyoyaona Tanzania Ikiondolewa na Wydad, RS Berkane na Raja Casablanca michuano ya CHAN

    Valentino team ya under 20 kule Misri alitoka bila goli huwezi kumuweka level Moja na top strikers wa nchi Bora angeenda Paul Peter na Offen Chikola
  8. Premierleague

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

    Kipa wa Uganda kupewa clown Uganda ikiitoa Senegal leo
  9. Premierleague

    JamiiForums Tanzania Asili na chimbuko la kabila Wanyantuzu

    Wanyantuzu Ile ni habari nyingine kabisa aisee anga zao usipite kirahisi ni katili mno hasa inapokuja suala la hela au cheo tz wanaweza kuwa kwenye top 3
  10. Premierleague

    JamiiForums Tanzania TFF fanyeni jambo tumpate huyu kocha wa kenya

    Hawezi kwanza ni kibri hatari we mtu kafundishwa na Mourinho
  11. Premierleague

    JamiiForums Tanzania TFF fanyeni jambo tumpate huyu kocha wa kenya

    Tff ijitahidi pia ipate mashabiki kama wale wakenya sio wacheza aerobic exercise uwanjani Kisha wanaitwa mashabiki NB:Ben alikuwa kwenye benchi la ufundi pale Man U chini ya Ten Haarg sio kocha mdogo na anajua kupanga team Ila akija bongo team hataweza maana figisu nyingi "Hili tunabeba"
  12. Premierleague

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Duh hii imekaaje

    Umetulia umetafakari ukaona ngoja ulilete jf jambo linalokusumbua au sio!?
  13. Premierleague

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uchaguzi wa ndani ya CCM jimbo la Vunjo Kilimanjaro, umemalizika huku ukiacha makovu. Watu wakamatwa na Mabomu

    Hakutaka kumpa na asingempa maana walikuwa wote na hakumpa kimei alipaswa kufanya shughuli zingine kabisa na sio ubunge haya kafukuzwa
  14. Premierleague

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uchaguzi wa ndani ya CCM jimbo la Vunjo Kilimanjaro, umemalizika huku ukiacha makovu. Watu wakamatwa na Mabomu

    Sema maisha yanachanganya sana,kwa hiyo kimei hajui kabisa Cha kufanya hadi anaenda kugombea ubunge🤔!?
Back
Top Bottom