Asili na chimbuko la kabila Wanyantuzu

Asili na chimbuko la kabila Wanyantuzu

Umesahau wana simba na yanga yao
Tokea zamani mtoto hukuwa anakuwa yanga au simba kabla hata simba na yanga hazijaanzishwa
Kuna bhagalo na bhagika
daaaaaa uko poa sana tena hiyoooo ni upande wa ngoma za asili tena mugalo hawez kushindana na mgalu mwenzake na mgika hawezi shindana na mgika mwenzake bali ni mugika na mugalu
 
Ni kweli kuna jamii za kisukuma ziko poa sana wana roho nzuri.

Ila kwa wanyantuzu nakukatalia.

Hao wana uchoyo roho mbaya na uchawi wa kufa mtu.

Wachache sana kwenye jamii za kinyantuzu ndo wako poa.
kwa uchawi hapo sawa maaa hdi wazir alisema mkandarasi kashindwa kufanya kaz coz ikifika usiku mabomba huwa yanapaaaa
 
Hapo ni mwendo wa kuwekana chini kama rapa wamarekani
kuna tetesi ya kuwa hapa Tanzania kwenye misitu ya monduli kuna chombo chenye mfano wa sanduku la agano, ambacho kiliachwa hapo na majeshi ya Ujerumani enzi za ukoloni. Inasemekana kuwa chombo hicho kina miujiza na mambo mengi ya ajabu na kutisha.

na Wajita,
weee jamaaa usinifanye nifunge safari niende hukoooo maaana sanduku la aganoooo dhuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
kwa uchawi hapo sawa maaa hdi wazir alisema mkandarasi kashindwa kufanya kaz coz ikifika usiku mabomba huwa yanapaaaa
😁😁😁 gamboshi au vipi??
 
Nasikia wanyantuzu wamechanganyika sana na wahima(watutsi)ambao ni wafugaji na ndio wenye ng'ombe huko usukumani.wasukuma kiasili ni wakulima ndio maana wametapakaa karibu nchi nzima wakitafuta maeneo mazuri ya kilimo.ili wahima(watutsi) wamejiingiza huko ndio hao anaosema huyu bwana kuwa kuwa ukienda bariadi utawakuta wasukuma wanaofanana na wamasai.mimi nna jamaa zangu ni wanyamulenge walihamia bariadi wakajipa majina ya kisukuma.
 
Hakuna mtusi huko wa mnyamulenge neno mnyantunzu mnalitafasr tofaouti na asili yake
 
Nasikia wanyantuzu wamechanganyika sana na wahima(watutsi)ambao ni wafugaji na ndio wenye ng'ombe huko usukumani.wasukuma kiasili ni wakulima ndio maana wametapakaa karibu nchi nzima wakitafuta maeneo mazuri ya kilimo.ili wahima(watutsi) wamejiingiza huko ndio hao anaosema huyu bwana kuwa kuwa ukienda bariadi utawakuta wasukuma wanaofanana na wamasai.mimi nna jamaa zangu ni wanyamulenge walihamia bariadi wakajipa majina ya kisukuma.
Mnadanganya sana hakuna asili ya watusi huko
Nasikia wanyantuzu wamechanganyika sana na wahima(watutsi)ambao ni wafugaji na ndio wenye ng'ombe huko usukumani.wasukuma kiasili ni wakulima ndio maana wametapakaa karibu nchi nzima wakitafuta maeneo mazuri ya kilimo.ili wahima(watutsi) wamejiingiza huko ndio hao anaosema huyu bwana kuwa kuwa ukienda bariadi utawakuta wasukuma wanaofanana na wamasai.mimi nna jamaa zangu ni wanyamulenge walihamia bariadi wakajipa majina ya kisukuma.
Neno ntunzu ni tawala iliyokuwa na nguvu kuliko zote usukumani ikiwa nchini ya babu yake na jonh edrew chenge
 
ASILI NA KOO ZA BANANTUZU AU WANYANTUZU.

Utangulizi.

Wanyantuzu au Banantuzu hawa ni kundi la Wasukuma wa Mashariki ya Usukuma, wanaofahamika kama Bana-Kiya au Wanakiya.

Bana-Kiya au Wasukuma wa Mashariki wanaopatikana mkoani Simiyu huzungumza kisukuma Cha rahaja inayoitwa KIMNAKIYA.
Rahaja ya Kimnakiya imegawanyika mara mbili;
■Rahaja ya kwanza ni ile inayozungumzwa wilaya za Bariadi na Itilima, ambayo hufahamika kama "GINANTUZU" au KINYANTUZU. ■Rahaja ya pili ni ile inayozungumzwa wilaya za Maswa na Meatu ambayo na yenyewe hufahamika kama JINANG'WAGALA au KINANG'WAGALA.

ASILI, CHIMBUKO NA KOO ZA BANANTUZU.
Asili ya jina BANANTUZU linaanzia katika Utemi wa Ntuzu Kwa Mtemi Ndaturu ambaye alitawala Utemi huo Hadi uhuru na Kufutwa kwa mamlaka ya kitemi kiserikali Mwaka 1962/1963.

BANANTUZU maana yake ni watu au wenyeji wa Utemi wa Ntuzu japo kuwa Kwa sasa Wasukuma wote wanaotokea Bariadi hujiita BANANTUZU nafikiri hili ni jina ambalo Wasukuma wa Utemi wa Kanadi, Itilima na Dutwa hujumuishwa kutokana na Kuongea kisukuma Cha rahaja moja inayotofautiana kidogo sana.

Lakini pia Wasukuma wa Utemi wa Ntuzu ndiyo Wasukuma waliokuwa na Watawala wenye nguvu na ushawishi mkubwa kiutawala Kuliko temi zingine za Bariadi.

BANANTUZU ambao ndiyo Wasukuma wenyeji wa Wilaya ya Bariadi Wana Koo zao maarufu sana ambazo ni Babinza, Bachama, Bakwaya, Baasi nulu Bashi, Bahunda, Baseka nulu Basega, Babungu, Bakamba, Bayemba, Balong'we, Basamba, Balega, Bakamba nk. Ndiyo maana Banantuzu wengi Wana majina ya ukoo ya wanawake kama vile Minza, Nchama, Nkwaya, Ng'wasi, Ng'hunda, Nseka, Mungu, Nkamba, Nyemba, Long'we, Nega nk.

ASILI NA CHIMBUKO LA BANANTUZU.
BANANTUZU ni Chimbuko la Mwingiliano wa kabila la Wasukuma na Makabila kutoka jirani na Usukuma kama vile Wataturu, Wanyamwezi,Wamasai, Washashi, Wazinza, Wanyiramba, Watindiga na Wadzabe au Wasandawe, Wanyaturu. nk. Wasukuma -Banantuzu Wana Mwingiliano na Wasukuma wa Mwanza na Shinyanga na ndiyo maana baadhi ya Koo zilizopo Bariadi Zina asili ya kutoka Mwanza kama vile Bakwimba (Nkwimba), Bagolo(Ngolo), Bakela (Nkela), Batimba (Ntimba) na Basiya(Nsiya) na Bakamba (Nkamba) kutoka Shinyanga.

Wasukuma -Banantuzu Wamekuwa na Mahusiano ya Karibu sana na Makabila ya kutokea Mashariki ya Usukuma kama vile Wamasai, Wataturu, Wanyiramba, Wanyaturu na Wadzabe nk. Ushahidi huu unaonekana katika maswala ya kiimani hasa pale makuani wa jadi wa napokuwa wanaagua huwa wanataja majina ya Wakurugenzi wa Wataturu na Wamasai lakini pia Wasukuma huwa Wanaomba upande wa Mashariki wakiwataja Bahanya au Bakula Batale bha Balatulu na Bamasayu. Vile vile uganga wa Umanga ambao ndiyo uganga maarufu Usukumani hasa Bariadi una asili au ulienezwa Usukumani na Balatulu Kwa Wasukuma kuzaliwa kidawa na Walatulu.

Lakini pia Wataturu Wanahistoria ya kuishi Usukumani miaka mingi iliyopita hasa maeneo ya Kanadi, ambapo pia kulikuwa na Mganga maarufu aliyefahamika Kwa jina la SITA na Mpwa wake NINDWA au Nyindwa. Inaaminika kuwa Ng'alang'ayi na Sinana ni moja ya Wataturu wa mwanzo kuishi Usukuma ya Mashariki.

Lakini pia ukiwa Wilaya ya Itilima Kuna eneo Linaitwa Gambasingu ambalo linahusishwa na kuishi Kwa Wataturu maeneo hayo. Wataturu waliozamia Usukumani Walifanya baadhi Yao kuoleana na Wasukuma na ndiyo maana ukiwa Bariadi Kuna Wasukuma wana maumbile ya kitaturu na kimasai kabisa.

Lakini pia Kuna tambiko la KANUDA linalohusishwa na Wamasai nafikiri Wasukuma wa Bariadi Wanafahamu namna Tambiko Hilo linavyofanyika, na Wasukuma wengi wa Bariadi Wana majina ya KANUDA.

pia Wana majina ya kitaturu kama vile, Singu, Magina, Sugilo, Lagu, Gamawishi, Wishi au Weshi nk. Hii inaonesha wazi kuwa Kuna mahusiano ya Karibu kati ya Wasukuma na Wataturu na Wamasai.

Wasukuma -Banantuzu ni moja ya Wasukuma maarufu walioshiriki katika kufuata biashara ya chumvi ya Nyaraja Mkoani manyara ambapo huko walikutana na Makabila ya kutoka Singida kama vile Wanyiramba na Wanyisanzu pia Wanyaturu na kuanzisha mahusiano ya kuoleana, ambapo Wasukuma walipendezwa na wanawake weupe kutokea Kwa Makabila hayo.

dhahiri kuwa asili ya Wasukuma wa ukoo wa Babungu ni makabila ya Wabungu na Wanyiramba.
NB; Msukuma kwa mwanamke mweupe humwambii kitu ,sura sio shida zao wao ni weupe tu basi 😁
Source; Bujora sukuma historical site
UKIENDA mikoa ya wasukuma, kuna watu kabisa wanajiona wao ni high class kwa wenzao kwa sababu ati ni wasukuma wa kinyantuzu. ila mkija huku mjini, sisi huwa tunawaona wote mpo sawa tu, ni washamba wale wale, mnyantuzu au msukuma wa wapi wote wasukuma tu na ushamba upo palepale. labda hao wanyantuzu kwa uganga wa kienyeji na uchawi, ila sifa njema pambaneni ninyi kwa ninyi huko, mkija mwetu wote kapu moja, mkaoge na kukata masweta kabla hamjaongea na civilized humanity.
 
Nasikia wanyantuzu wamechanganyika sana na wahima(watutsi)ambao ni wafugaji na ndio wenye ng'ombe huko usukumani.wasukuma kiasili ni wakulima ndio maana wametapakaa karibu nchi nzima wakitafuta maeneo mazuri ya kilimo.ili wahima(watutsi) wamejiingiza huko ndio hao anaosema huyu bwana kuwa kuwa ukienda bariadi utawakuta wasukuma wanaofanana na wamasai.mimi nna jamaa zangu ni wanyamulenge walihamia bariadi wakajipa majina ya kisukuma.
hii yote ili aonekane ni mtu wa kuja, sio mshamba kama hawa wa hapa. kwani mtusi kwa mtanzania ana ubora gani? si mkimbizi tu?
 
kwa uchawi hapo sawa maaa hdi wazir alisema mkandarasi kashindwa kufanya kaz coz ikifika usiku mabomba huwa yanapaaaa
NKNS,

JADI...

Sisi Waafrika kuna mengi 'Tunayasahau' lakini tusichokijua 'Kumbukumbu za walitutangulia' daima zipo kwenye damu zetu.... Kuna namna unaweza kukumbuka babu na bibi zako waliishi kufanya yepi siku za nyuma...

Siku za mbele haya tutafundishana upya kwenye vituo vyetu vya Utamaduni...

Waafrika wengi hawafahamu kuwa 'Kutwaa upya mwili siyo dhana ngeni' miongoni mwa makabila mengi, ninakumbuka miye kama mtu kutambuliwa na 'mzee' kama 'fulani' aliyeishi siku za nyuma na hata akaanza kuniita kwa jina lake 'Magawa'...

Kwenye video hapa chini mdau anasimulia hili kimtindo, japo hata hapa Nyumbani wakati mmoja nikiwa na mchungaji mmoja wa Kikamba kule Rorya nilimuuliza ikiwa kwao hili suala la "fulani karudi tena" bado lipo na yeye akauweka 'Ukristo Pembeni' na kunithibitishia ni hivyo...

View: https://youtu.be/VJZMVsMJtGA?list=LL&t=1688

Nafikiri masoko ya 'fetishi' hata hapa nyumbani yapo lakini hayana umaarufu kama ule wa yale 'Benini / Togo'; Baridi, SIMIYU ni sehemu mojawapo nadhani nimepata kuyaona yapo na yamezoeleka.... Kule Bariadi, nimepata kuzungumza na wenyeji kuhusu 'mambo ya Jadi' na wao kweli wamepata kunifungukia mengi; kwangu miye NINATHAMINI dini za Jadi, kwa kuwa 'Ninazikumbuka'...

View: https://www.youtube.com/watch?v=PovFYQ6TLY4

Kuhusu hii video, kuna mahala nimeandika hivi:

" I have watched the whole of it and yes! It is much similar to communal functions which are prevalent even here in the East Africa... As an African I have faint memories of those energetic jubilation that come along with the rituals and the ceremonial magic -- and the spirit of conquering the unknown... Although in this life i would sip neither blood nor alcohol, yet I fully understand what purpose it served : ENSHRINING TRIBAL MEMORIES... Those skulls of ancestors are key for unlocking the tribal memories and all who participate in those functions do actually contribute in fortifying the spirit of the Tribe (Those skulls, they are likely the ones of powerful vodoo priests of the past), funny it is not about what color or where do you come from -- it is all about 'Wiilingness' to be part of the 'Tribal Soul Memories'... There are certain sounds that they are making like dominantly 'eeeh' with instrumentation (sometimes) of the corroborating overtones of 'horn like sound' that is 'trance key'--it can take you to the trance and thus feeling how all others have felt and perceived in typical ceremonies and i personally like it as it is so enchanting especially if you put the element of fear aside... Natamani watu wa hapa nyumbani wangekuwa ni wenye kuelewa vema haya mambo... Hmmm"
 
si kweli kjana wasukuma wana roho nzuri japo huenda ulikosewa na mmoja ko unawaon ote wako vile na siku zote mtu aliye kosewa humuona yoyote apitae mbele yake pia nae ni mkosaji 2
Wanyantuzu Ile ni habari nyingine kabisa aisee anga zao usipite kirahisi ni katili mno hasa inapokuja suala la hela au cheo tz wanaweza kuwa kwenye top 3
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom