Recent content by pray god

  1. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi /ajira

    Anakaa Anakaa kwangu,chakula malazi yote kwangu kwa mwezi,na awe mwaminifu na mwenye kujituma,kama upo tayari weka namba ili tujuane wewe pamoja na nduguzo wa karibu
  2. P

    JamiiForums Tanzania Ajira za askari zishatoka?

    Je wanapokeafa kianzia umri gani na je zip sifa kwa wahtaji.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi /ajira

    Mshahara 40_45 kuuza duka upo tayari
  4. P

    JamiiForums Tanzania Maalumu kwa ushauri wa kombination inayofaa kwenda nayo Form five

    Ajira hakuna mazee nawe unataka jiunga kwa foleni isojulikana hatima yke kwisha,aende jkt zen kazi polsi au jesh zkitoka aombe huko,au kama mboga saba hasome tu chochote atashikwa mkono.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais Magufuli, tafadhali ajiri walimu

    Achana nae bwana tatizo anajiona mungu,akae nazo hizo ajira c tutafanya mengine
  6. P

    JamiiForums Tanzania Wanatafutwa Waalimu wa Chekechea kutoka Kenya/Uganda

    Sasa tangazo la nini hapa,kawatangazie wakenya huko,wabongo roho mbaya kama mkuu wao,mbavu zako
  7. P

    JamiiForums Tanzania Sasa nimeamini siwezi kuajiriwa, ushauri wenu tafadhali

    Yaani uingie class tena,now unamiaka mingapi?had uhitimu hiyo course yako huoni umri utakuwa unaenda paspo kipato na kazi now days ni probably,anzisha biashara kama unamtaji ,duka la vyakula haliwezi kukutupa coz binadamu kila cku lzma ale,kidgo kidgo kwa kuanzia unaweza kupanua wigo wa biashara...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Tangazo kuhusu wahitimu wa shahada na stashahada za ualimu (sayansi) waliotakiwa kuwasilisha vyeti

    Sasa mbona mikoa ya kufanyia kazi hawajaonyesha ?wataenda kuripoti wap hawa wenzetu,hongereni sana wacha sisi tujimix na ufugaji wa kuku
  9. P

    JamiiForums Tanzania Tangazo kuhusu wahitimu wa shahada na stashahada za ualimu (sayansi) waliotakiwa kuwasilisha vyeti

    Du teacher una hasira hataree,stress hizo mwenzio amechanganyiwa kuona anaona lkn kusom ndo tatizo
  10. P

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Serikali yangu haitayafumbia macho magazeti mawili yanayoandika habari za uchochezi

    Wapi uhuru wa mwandishi?tuseme huyu ajasoma mada ya uhuru wa mwandishi?why anataka fanya nchi kama ni yake?,hivi angefanyiwa ivyo anavyofanya sasa yeye angekuwepo hapo alipo? Vibaya hivyo baba ,binadamu hatujakamilika na usisahau nawe ni binadamu uraisi ni cheo tu,hivyo unapokosea lazima...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Serikali haieleweki kabisa kuhusu ajira hasa za waalimu

    So pain yaani bora kuwa msanii utapiga mamilion wa kin diamind hao wametoboa na hakuna cha university wala nene,yaani inapidi tuachane na mavyeti cmba akitoa kazi hata ya dance inapidi tuapply tu maana mbona wakina iyobu wana make money na kuwamiliki wattoto wazuri wakina aunt Ezekiel,na maisha...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Nafasi za JKT zinatoka lini?

    Way about age kwa mtu aliye maliza shahada?na akiwa mdada kama ameshazaa kama watoto wawili hivi wanaweza mpokea?mhitimu wa 2015 education
  13. P

    JamiiForums Tanzania Hashim Rungwe Sipunda: Huyu mnayemuita fisadi si mumkamate au nyie waongo?

    atiz Tatizo wtz ni wazandiki leo ndo tunampenda,lkn kpund cha kupiga kura tulicheka na kumdhihaki huyu baba mkaenda kumpigia kur magu,lowasa
  14. P

    JamiiForums Tanzania Mhe Rais ulipokuwa ukisitisha ajira serikalini ulitoa waraka nini kimekushinda kutoa waraka tena,

    Utasubiri sana mkuu na sku zikitoka itakuwa afadhali ya jana maana itakuwa ni maumivu zen faru atakuja na vimsemo vyake
Back
Top Bottom