Hashim Rungwe Sipunda: Huyu mnayemuita fisadi si mumkamate au nyie waongo?

Mimi namjibu kwa haraka na urahisi kabisa kwamba yote aliyoyataja ambayo ni mambo mazuri kabisa kufanywa na Serikali ya CCM, yamefanyika kwa kipindi cha miaka 10 pamoja na Awamu nyingine zilizopita yaani II na ya III, hivyo kutegemea kwamba ndani ya Mwaka I Awamu ya V ifanye mengi zaidi ya Awamu tatu zilizopita ni ujinga na kwanza hakuna mashindano kwani wote ni Viongozi wa CCM na wanatekeleza Ilani za CCM!

Ila nimefurahia kwamba Upinzani wamekubali kwamba CCM imefanya makubwa Tanzania kinyume na wengine ambao husema kwamba miaka 50 hakuna kilichofanyika, hivyo nimefurahi kwamba mme bow down kwamba Nchi yetu inasonga mbele tena kwa kasi ya ajabu kama Mpinzani alivyosema!
kwa kip hiko hasa mlichofanya ccm bhn,nchi mmekaa marakani miaka zaid ya 50 bdo maj shida,umeme shida barabara shida kaz kuja na sera zilizowazid uwezo sa tanzania ya viwanda cjui nn, mtaishia ivo ivo na maneno tu na hamtajenga kiwanda ht kimoja mkuu.
 
Mimi namjibu kwa haraka na urahisi kabisa kwamba yote aliyoyataja ambayo ni mambo mazuri kabisa kufanywa na Serikali ya CCM, yamefanyika kwa kipindi cha miaka 10 pamoja na Awamu nyingine zilizopita yaani II na ya III, hivyo kutegemea kwamba ndani ya Mwaka I Awamu ya V ifanye mengi zaidi ya Awamu tatu zilizopita ni ujinga na kwanza hakuna mashindano kwani wote ni Viongozi wa CCM na wanatekeleza Ilani za CCM!

Ila nimefurahia kwamba Upinzani wamekubali kwamba CCM imefanya makubwa Tanzania kinyume na wengine ambao husema kwamba miaka 50 hakuna kilichofanyika, hivyo nimefurahi kwamba mme bow down kwamba Nchi yetu inasonga mbele tena kwa kasi ya ajabu kama Mpinzani alivyosema![/Qwewe lazima utakua wa buku 7.sikiliza kwa makini ndio utoe jibu sio unakurupuka tu
 
Back
Top Bottom