Natafuta kazi /ajira

Status
Not open for further replies.
Salam wakuu,
Natafuta kazi nina elimu ya kidato cha nne, umri 20-25 kazi yoyote nikielekezwa naweza kufanya vizuri, kuuza duka la jumla au rejareja, kituo cha mafuta (filling station) naishi Dar.
nicheki 0626762227
 
We ni binti au kijana wa kiume
Salam wakuu,
Natafuta kazi nina elimu ya kidato cha nne, umri 20-25 kazi yoyote nikielekezwa naweza kufanya vizuri, kuuza duka la jumla au rejareja, kituo cha mafuta (filling station) naishi Dar.
 
Anakaa
Mkuu hiyo 40-45 kwa wiki au kwa mwezi.Je kama kwa mwezi ataishi kwako na maswala ya chakula na nauli itakuwaje.
Anakaa kwangu,chakula malazi yote kwangu kwa mwezi,na awe mwaminifu na mwenye kujituma,kama upo tayari weka namba ili tujuane wewe pamoja na nduguzo wa karibu
 
Kama unahitaji kweli serious nipigie 0659364407 tufanye kazi - Nina elimu nzuri tu ( Ya darasani na Maisha )
 
Salam wakuu,
Natafuta kazi nina elimu ya kidato cha nne, umri 20-25 kazi yoyote nikielekezwa naweza kufanya vizuri, kuuza duka la jumla au rejareja, kituo cha mafuta (filling station) naishi Dar.
Unachelewa ndugu njoo nikupe mfumo mzuri wa kuingiza Pesa kwa elfu kumi tu na uweze Kupata mtaji wako kwa muda mfupi so zaidi ya wiki mbili ila inabidi uwe serious nakuhakikishia utakuwa na ofisi yako na utapiga Pesa sana Mkuu Namba 0625840448
 
Mkuu ungeweka hapa hayo maelezo kwa ufupi kwani wanaotafuta ajira ni wengi, ni biashara ya mtandao au?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom