Mkoloni aliondoka huku akiacha maendeleo mazuri tu hapa Afrika mfano ni Zimbabwe,leo hii hali ikoje Zimbabwe chini ya weusi ZANU-PF ?
Pale South Africa chini ya ANC Hali ikoje ? Ukilinganisha ni enzi za Makaburu ?
Wakina Mwalimu Nyerere walipewa nchi zikiwa vizuri kuzidi nchi kama...
Tatizo Wala sio dini mfano hapa Tanzania 500b zinatumika Kununua magari ya kifahari,sasa hili lina uhusiano Gani na dini ? Wakati jamii haina maji,Barabara nk
Rais Mkapa alichukua 133b kugharimu uchaguzi,shida ya mtu mweusi haipo kwenye imani ya dini Bali akili yake.
Nilikuwa namiss sana msosi siku ya wali na nyama,siku moja nikaitwa kwenye ofisi ya second master, kwa kesi ya kumkaba koo kaka mkuu wa shule kwa kosa la kumzuia asichuke msosi ,wakati siku ya tukio nilikuwa wa mwisho kuchukua msosi.
Umepiga kwenye mshono,katika jambo la taaluma serikali haipaswi kucheka na mtu,hata JPM aliwafurusha wenye vyeti fake haku taka kusikia mambo ya experience Wala kipaji.
Elimu Elimu Elimu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.