Yes Ila waweke grade na level mkuu wasiseme kigezo ni diploma tu
Tukiendekeza vipaji,
Tutakuja tibiwa na madaktari wenye vipaji mahospitalini
Na Kuna swali umeuliza kwamba kipaji Cha uañdishi wa habari ndo kipoje ?mpaka sasa hakuna aliye jibu ?Swali linakuja, kwani huko vyuoni hakuna vipaji?
Na Kuna swali umeuliza kwamba kipaji Cha uañdishi wa habari ndo kipoje ?mpaka sasa hakuna aliye jibu ?
Kasomeni heshimuni proffesionalism acheni janjajanja
Ilibaki kidogo doto magari au mandonga waingizwe kwenye media kama watangazaji 😄
Ova
Marekani kulikuwa na watu kama Larry King wa CNN na Peter Jennings wa ABC waliheshimika sana kama watangazaji mahiri, lakini hawakuwa na cheti chochote.Wanabodi
Hii ni makala yangu gazeti la Nipashe.
View attachment 3421893
Huu ni wito kwa wana tasnia ya habari, "Moja shika sii kumi nenda rudi " and "if you can't get what you want, then just take what you get", kumaanisha, ukikosa kile ulichokitaka, pokea kile ulichopatiwa, hata kama sio kile ulichokitaka, wakati ukiendelea kutafuta kile unachokitaka.
Kilio kikubwa cha media ya Tanzania, ni kutoheshimika na kutothaminiwa kama fani nyingine muhimu za wanasheria, madaktari, wahasibu, nah ii fani mpya ya kisasa ya machawa, kwenye mikutano muhimu, machawa wanapangiwa viti vya mbele, waandishi tunatupwa nje!.
Lakini sasa baada ya kuundwa kwa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa habari, heshima imeanza anza, tutoe ushirikiano wote kwa utekelezaji wa sheria hii mpya, lakini pia tuisaidie kuishauri bodi hii, ili kuizuia, badala ya kuwa neema kwa waandishi, ikageuka ni neema kwa waandishi wakubwa tuu, lakini ni mwiba kwa waandishi chipukizi.
Ibara ya 5: Kwenye majukumu ya Director of Information Services, ameonyeshwa atasajili print media pekee, lakini sio broadcast media, hili ni tatizo!, siku zote tunataka waandishi wa habari na watangazaji tuwe kitu kimoja, tuunganishe vyombo vya habari vyote nchini Tanzania chini ya mwamvuli mmoja. Mpaka sasa vyombo vya habari vya print ndio viko chini ya wizara ya habari, nah ii sheria mpya ya habari, halafu vyombo vya habari vya utangazaji, TV, Redio na Online, viko chini ya wizara ya mawasiliano, na sheria ya utangazaji chini ya TCRA.
Bodi ya Ithbati imekuja na lile hitaji la mwandishi wa habari lazima awe na vyeti vya kitaaluma kwa kiwango cha Diploma, hivyo ndivyo sheria mpya ya habari inataka mwandishi wa habari lazima awe na angalau diploma ya habari. Hitaji hili ni neema kwa waandishi wa habari wa magazeti, na mwiba kwa watangazaji na online media.
Kwanza mimi kama mwandishi wa habari mkongwe, naunga mkono hoja hii kwa asilimia 100% kwa 100% ili kujenga heshima ya tasnia ya habari as a professional, kama walivyo wanasheria, madaktari, mainjinia na professional nyingine zote.
Lakini uandishi wa habari na utangazaji, zaidi ya taaluma, pia ni kipaji, lakini pamoja na kipaji, ili mtu awe mwandishi au mtangazaji lazima apite shule ya habari kupigwa angalau msasa tuu wa certificate. Nilipoajiriwa RTD, unapimwa kipaji tuu, halafu mafunzo ya kazi unayapatia kazini, kupitia mafunzo kazi kwa kozi ya Radio Induction Course.
JAB imewaweka waandishi wote wa habari kwenye tenga moja la diploma!. Hii sio sawa, hata baharini na kwenye maziwa, kuna samaki wakubwa papa na nyangumi, kuna samaki wa kati, sato, sangala na kambale, na kuna samaki wadogo dagaa!, wote ni samaki, kuwawaeka samaki wote kwenye tenga moja kubwa la nyangumi, papa, sato sangala na dagaa, sio kuwatendea haki dagaa, watatafunwa wote na samaki wakubwa!.
JAB imeanza kuwakaba dagaa wasio na diploma na kuwazuia kuwa waandishi wakati wana vipaji na hawana vyeti! Nashauri tuwagawe waandishi kwenye makundi makundi ya accredited expert profession journalist lazima wawe na shahada ya Chuo Kikuu, masters na PH.D au zaidi waitwe ma ekpati wa uandishi ili kujenga heshima kama tasnia ya sheria.
Kwenye tasnia ya sheria , japo kuna certificate, diploma na degree, mtu huwezi kuwa advocate hadi kwanza uwe na degree, kisha uende Law School ndipo usajiliwe na mahakama kuu kama wakili. Hata uwe na diploma mia, hata uwe na Ph.D ya sheria, kama huna LL.B huwezi kuwa wakili. Kama kwa wanasheria hili limewezekana kwa nini kwa waandishi lisiwezekane?
Waandishi wa kawaida wa diploma, ndio iwe ngazi ya professional journalist, kama kinachofanywa sasa na JAB. Lakini kuwe na kundi la media contributors, hawa ni waandishi wenye fani nyingine ambao wanaandika na hawa diploma ya habari, watambuliwe!. CNN, BBC, VOA wanawatumia ma expert wa fani nyingine kutoa expert opinion. Tuwaruhusu.
Kuna wenye certificates wasajiliwa kama assistant journalists lakini sio professional journalist. Na waandishi wengine wote wenye vipaji lakini hawana vyeti, wasajiliwe kama trainee journalists, milango ya kujiendeleza ifunguliwe, wajiendeleze na sio kuwafungia na kuwatimua newsrooms.
JAB ni fursa ya kuijengea heshima tasnia ya habari kama taaluma yenye kuheshimika kama taaluma ya sheria, na wanahabari tuwe kama ilivyo kwa wanasheria, ili mtu awe wakili, lazima kwanza apate shahada ya sheria, LL.B, wale wengine wote wenye certificates au diploma za sheria, ni ma para legal na sio mawakili. Hivyo Waandishi pia wagawanywe makundi, professional accredited journalist ili kuwa Accredited Journalist lazima kwanza uwe na a university degree ya journalism or related field.
Kwa mujibu wa sheria hii, kama nilivyosema mwanzo, hii ni ile Newspaper Act ya 1976 iliyoboreshwa, hiyo bodi ya Ithibati isiwe rigid kusajili waandishi wa habari wa diploma tuu.
Sheria hii mpya ya Habari ni ile ile Newspaper Act ya 1976, iliyoboreshwa ambayo ina deal na print tuu, broadcast iko wizara nyingine, mamlaka nyingine chini ya TCRA, kule unajisajili kwa TZS 1.M, kisha unapeleka unlimited number ya waandishi wa social media ambao hawana cheti chochote!.
Bodi ya Ithibati iangalie fani ya utangazaji ni vipaji na sio vyeti, kuwataka watangazaji wote wawe na diploma ni kuwaonea bure!. Baharini papa na nyangumi , sato na sangala ni samaki, lakini hata dagaa pia ni samaki na ana haki ya kuishi sio tuu kuliwa na samaki wakubwa!. Hawa hawa dagaa wa uandishi wasio na diploma, ndio vipaji vinavyoendesha redio zote na mitandao ya kijamii, tusiwafungie kufisha vipaji vyao, tuwawekee dirisha dogo la usajili.
Hongera JAB kwa mwanzo mzuri, mna kazi kubwa mbele yenu.
Mungu ibariki JAB
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali
Rejea za mleta mada kuhusu uandishi wa habari
- Wito kwa wanahabari: If you can't get what you want, just take what you get!
- Siku ya Uhuru wa Habari: Hakuna Uhuru wa Habari bila Uhuru wa Kiuchumi wa Waandishi wa Habari
- Waandishi wa Habari na Bahasha: Sio Kila Bahasha ni Rushwa
- Uhuru wa Habari Tanzania: Je, Vyombo Viko Huru? Je, Waandishi wa Habari wako huru? Wanathaminiwa?.
- Tanzania tuna uhuru wa habari, ila media oga! Tungekuwa mbali sana kimaendeleo, rushwa, uhujumu, ufisadi, ubadhirifu vingeibuliwa kabla
- Vyombo Vya Rasmi vya Habari vya TZ, Havitimizi wajibu Wake, Njaa, Ukata, Ujinga!. Waandishi, Wamiliki Watakiwa Kujiongeza- Jicho Letu Star TV
- Vyombo Vya Habari Vya Tanzania, Havina Uwezo wa Uchambuzi wa Habari, News Analysis-Jicho Letu
Kwenye 'kipaji ni nyongeza ya ziada' nadhani umekosa lugha ya kueleweka hapo.Cheti ni muhimu.
Kipaji ni nyongeza ya ziada. Muhimu ila sio lazima
Je Mimi ambaye sikuwa na mwalimu wa civics na mtihani wangu wa civics uliotumika kama marking scheme nitasemaje.Na Sisi ambao hatukuwa na waalimu as Civics na tukapata A tunasemaje Mkuu?
Kipaji katika uandishi wa Habari kinapimwaje?
Kuongea Sana?
Kujua kutoa ripoti?
Kujua kukusanya taarifa?
Uwezo wa kuchambua mambo na kuyatumia katika KAZI Kwa wakati husika?
Mtangazaji asiye na cheti na asiye na elimu anachambuaje mambo nyeti y kisera, kisheria, kielimu, kiafya, kihandisi, n.k.?
Watu wasome. Watu wawe na Elimu.
Hakunaga kipaji cha uandishi wa habari
Wanabodi

- Tanzania tuna uhuru wa habari, ila media oga! Tungekuwa mbali sana kimaendeleo, rushwa, uhujumu, ufisadi, ubadhirifu vingeibuliwa
- Wito kwa wanahabari: If you can't get what you want, just take what you get!
- Siku ya Uhuru wa Habari: Hakuna Uhuru wa Habari bila Uhuru wa Kiuchumi wa Waandishi wa Habari
- Waandishi wa Habari na Bahasha: Sio Kila Bahasha ni Rushwa
- Uhuru wa Habari Tanzania: Je, Vyombo Viko Huru? Je, Waandishi wa Habari wako huru? Wanathaminiwa?.
- Vyombo Vya Rasmi vya Habari vya TZ, Havitimizi wajibu Wake, Njaa, Ukata, Ujinga!. Waandishi, Wamiliki Watakiwa Kujiongeza- Jicho Letu Star TV
- Vyombo Vya Habari Vya Tanzania, Havina Uwezo wa Uchambuzi wa Habari, News Analysis-Jicho Letu
Mkuu kumbuka kuna tofauti kubwa sana kati ya akili na Elimu japo vinashabiana kwambali kiasi, hii na maanisha mtu anaweza kuwa na elimu kubwa tu lakini akawa hana akili, Akili mtu huzaliwa nayo na haihitaji darasa lakini elimu huishwa kutoka mtu mmoja hadi mwingine sasa wewe uko je uko pahala gani elimu bila akili au Akili bila Elimu, ndio maana wenzetu nchi waliojipata mara nyingi hawaangalii makaratasi zaidi wanaangalia nini kichwa chako kibeba au mikono, miguu imebeba? Mifano ipo makapuni ya watu wa kigeni wanapokuja hapa kwetu makaratasi si sana ndio maana unapoanza lazima upitie mafunzo kwanza na ufaulu vizuri hiyo makaratasi yako hawaitambui.. Ebhu fikiria kidogo tu hii elimu tuliyonayo nani alianzisha? Na je kama alikuwa na Elimu alifundishwa na nani? Ukipata majawabu hii maswali utatoka na jawabu moja tu walioanzisha elimu ni watu ambao hawakuingia darasa hata kidogo mbali walikuwa na akili tu.Na Sisi ambao hatukuwa na waalimu as Civics na tukapata A tunasemaje Mkuu?
Kipaji katika uandishi wa Habari kinapimwaje?
Kuongea Sana?
Kujua kutoa ripoti?
Kujua kukusanya taarifa?
Uwezo wa kuchambua mambo na kuyatumia katika KAZI Kwa wakati husika?
Mtangazaji asiye na cheti na asiye na elimu anachambuaje mambo nyeti y kisera, kisheria, kielimu, kiafya, kihandisi, n.k.?
Watu wasome. Watu wawe na Elimu.
Hakunaga kipaji cha uandishi wa habari
Mimi nafikiri wawe na Cheti kwanza then tutawapima vipaji vyao ila Diploma kwanza tafadhari please muwe na Diploma ni muhimu kupunguza wapuyukaji redioni nakumbuka kipindi kile RTD yupo Masoud Masoud mpaka leo TBC husikii akipayuka payuka kupiga makelele ya ajabu ajabu redioni makala zake anazichambua kisomi sababu ameenda shule jamani shule shule shuleeee muhimu utangazaji pamoja na kipaji ila shule ni muhimu mno wasome Diploma walau angalau Diploma basi jamani wasoooome Diploma itawaonyesha namna gani mtangazaji na mwanahabari anatakiwa aweCheti ni muhimu.
Kipaji ni nyongeza ya ziada. Muhimu ila sio lazima
Vipaji waende BSS na Tusker Project Fame au Cheka Tu, kwenye habari shule ni muhimu zaidi kuliko kipaji inabidi wapitishe kwenye moto wanolewe kwanza sio kukurupuka tu anajua kushika maiki na kuongea tayari hapana kuna vingi vya kujifunza tusirahisishe mambo kiasi hicho tena aliekuja na wazo la Diploma nimempongeza sanaMkuu kumbuka kuna tofauti kubwa sana kati ya akili na Elimu japo vinashabiana kwambali kiasi, hii na maanisha mtu anaweza kuwa na elimu kubwa tu lakini akawa hana akili, Akili mtu huzaliwa nayo na haihitaji darasa lakini elimu huishwa kutoka mtu mmoja hadi mwingine sasa wewe uko je uko pahala gani elimu bila akili au Akili bila Elimu, ndio maana wenzetu nchi waliojipata mara nyingi hawaangalii makaratasi zaidi wanaangalia nini kichwa chako kibeba au mikono, miguu imebeba? Mifano ipo makapuni ya watu wa kigeni wanapokuja hapa kwetu makaratasi si sana ndio maana unapoanza lazima upitie mafunzo kwanza na ufaulu vizuri hiyo makaratasi yako hawaitambui.. Ebhu fikiria kidogo tu hii elimu tuliyonayo nani alianzisha? Na je kama alikuwa na Elimu alifundishwa na nani? Ukipata majawabu hii maswali utatoka na jawabu moja tu walioanzisha elimu ni watu ambao hawakuingia darasa hata kidogo mbali walikuwa na akili tu.
Hii inanipa kuamini watu wachache wa kale Walijifungia na kukaa kwenye meza ya mduara na kutoka na makubaliano ya hivi itwe kusoma. Hivyo mie naona vipaji vizingatiwe zaidi.
Pascal kweli pongezi inatoka moyoni au mdomoni,iwapo ni kutoka rohoni hongera,ila mimi kwa uelewa mchache Wa tanzania yangu najiwekea akiba ya maneno ya baadaye.P maswali magumu ni tiba kwa taifa letu na haifai kuwa sumu ya kuliangamiza taifa.Wanabodi
Hii ni makala yangu gazeti la Nipashe.
View attachment 3421893
Huu ni wito kwa wana tasnia ya habari, "Moja shika sii kumi nenda rudi " and "if you can't get what you want, then just take what you get", kumaanisha, ukikosa kile ulichokitaka, pokea kile ulichopatiwa, hata kama sio kile ulichokitaka, wakati ukiendelea kutafuta kile unachokitaka.
Kilio kikubwa cha media ya Tanzania, ni kutoheshimika na kutothaminiwa kama fani nyingine muhimu za wanasheria, madaktari, wahasibu, nah ii fani mpya ya kisasa ya machawa, kwenye mikutano muhimu, machawa wanapangiwa viti vya mbele, waandishi tunatupwa nje!.
Lakini sasa baada ya kuundwa kwa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa habari, heshima imeanza anza, tutoe ushirikiano wote kwa utekelezaji wa sheria hii mpya, lakini pia tuisaidie kuishauri bodi hii, ili kuizuia, badala ya kuwa neema kwa waandishi, ikageuka ni neema kwa waandishi wakubwa tuu, lakini ni mwiba kwa waandishi chipukizi.
Ibara ya 5: Kwenye majukumu ya Director of Information Services, ameonyeshwa atasajili print media pekee, lakini sio broadcast media, hili ni tatizo!, siku zote tunataka waandishi wa habari na watangazaji tuwe kitu kimoja, tuunganishe vyombo vya habari vyote nchini Tanzania chini ya mwamvuli mmoja. Mpaka sasa vyombo vya habari vya print ndio viko chini ya wizara ya habari, nah ii sheria mpya ya habari, halafu vyombo vya habari vya utangazaji, TV, Redio na Online, viko chini ya wizara ya mawasiliano, na sheria ya utangazaji chini ya TCRA.
Bodi ya Ithbati imekuja na lile hitaji la mwandishi wa habari lazima awe na vyeti vya kitaaluma kwa kiwango cha Diploma, hivyo ndivyo sheria mpya ya habari inataka mwandishi wa habari lazima awe na angalau diploma ya habari. Hitaji hili ni neema kwa waandishi wa habari wa magazeti, na mwiba kwa watangazaji na online media.
Kwanza mimi kama mwandishi wa habari mkongwe, naunga mkono hoja hii kwa asilimia 100% kwa 100% ili kujenga heshima ya tasnia ya habari as a professional, kama walivyo wanasheria, madaktari, mainjinia na professional nyingine zote.
Lakini uandishi wa habari na utangazaji, zaidi ya taaluma, pia ni kipaji, lakini pamoja na kipaji, ili mtu awe mwandishi au mtangazaji lazima apite shule ya habari kupigwa angalau msasa tuu wa certificate. Nilipoajiriwa RTD, unapimwa kipaji tuu, halafu mafunzo ya kazi unayapatia kazini, kupitia mafunzo kazi kwa kozi ya Radio Induction Course.
JAB imewaweka waandishi wote wa habari kwenye tenga moja la diploma!. Hii sio sawa, hata baharini na kwenye maziwa, kuna samaki wakubwa papa na nyangumi, kuna samaki wa kati, sato, sangala na kambale, na kuna samaki wadogo dagaa!, wote ni samaki, kuwawaeka samaki wote kwenye tenga moja kubwa la nyangumi, papa, sato sangala na dagaa, sio kuwatendea haki dagaa, watatafunwa wote na samaki wakubwa!.
JAB imeanza kuwakaba dagaa wasio na diploma na kuwazuia kuwa waandishi wakati wana vipaji na hawana vyeti! Nashauri tuwagawe waandishi kwenye makundi makundi ya accredited expert profession journalist lazima wawe na shahada ya Chuo Kikuu, masters na PH.D au zaidi waitwe ma ekpati wa uandishi ili kujenga heshima kama tasnia ya sheria.
Kwenye tasnia ya sheria , japo kuna certificate, diploma na degree, mtu huwezi kuwa advocate hadi kwanza uwe na degree, kisha uende Law School ndipo usajiliwe na mahakama kuu kama wakili. Hata uwe na diploma mia, hata uwe na Ph.D ya sheria, kama huna LL.B huwezi kuwa wakili. Kama kwa wanasheria hili limewezekana kwa nini kwa waandishi lisiwezekane?
Waandishi wa kawaida wa diploma, ndio iwe ngazi ya professional journalist, kama kinachofanywa sasa na JAB. Lakini kuwe na kundi la media contributors, hawa ni waandishi wenye fani nyingine ambao wanaandika na hawa diploma ya habari, watambuliwe!. CNN, BBC, VOA wanawatumia ma expert wa fani nyingine kutoa expert opinion. Tuwaruhusu.
Kuna wenye certificates wasajiliwa kama assistant journalists lakini sio professional journalist. Na waandishi wengine wote wenye vipaji lakini hawana vyeti, wasajiliwe kama trainee journalists, milango ya kujiendeleza ifunguliwe, wajiendeleze na sio kuwafungia na kuwatimua newsrooms.
JAB ni fursa ya kuijengea heshima tasnia ya habari kama taaluma yenye kuheshimika kama taaluma ya sheria, na wanahabari tuwe kama ilivyo kwa wanasheria, ili mtu awe wakili, lazima kwanza apate shahada ya sheria, LL.B, wale wengine wote wenye certificates au diploma za sheria, ni ma para legal na sio mawakili. Hivyo Waandishi pia wagawanywe makundi, professional accredited journalist ili kuwa Accredited Journalist lazima kwanza uwe na a university degree ya journalism or related field.
Kwa mujibu wa sheria hii, kama nilivyosema mwanzo, hii ni ile Newspaper Act ya 1976 iliyoboreshwa, hiyo bodi ya Ithibati isiwe rigid kusajili waandishi wa habari wa diploma tuu.
Sheria hii mpya ya Habari ni ile ile Newspaper Act ya 1976, iliyoboreshwa ambayo ina deal na print tuu, broadcast iko wizara nyingine, mamlaka nyingine chini ya TCRA, kule unajisajili kwa TZS 1.M, kisha unapeleka unlimited number ya waandishi wa social media ambao hawana cheti chochote!.
Bodi ya Ithibati iangalie fani ya utangazaji ni vipaji na sio vyeti, kuwataka watangazaji wote wawe na diploma ni kuwaonea bure!. Baharini papa na nyangumi , sato na sangala ni samaki, lakini hata dagaa pia ni samaki na ana haki ya kuishi sio tuu kuliwa na samaki wakubwa!. Hawa hawa dagaa wa uandishi wasio na diploma, ndio vipaji vinavyoendesha redio zote na mitandao ya kijamii, tusiwafungie kufisha vipaji vyao, tuwawekee dirisha dogo la usajili.
Hongera JAB kwa mwanzo mzuri, mna kazi kubwa mbele yenu.
Mungu ibariki JAB
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali
Rejea za mleta mada kuhusu uandishi wa habari
- Tanzania tuna uhuru wa habari, ila media oga! Tungekuwa mbali sana kimaendeleo, rushwa, uhujumu, ufisadi, ubadhirifu vingeibuliwa kabla
- Wito kwa wanahabari: If you can't get what you want, just take what you get!
- Siku ya Uhuru wa Habari: Hakuna Uhuru wa Habari bila Uhuru wa Kiuchumi wa Waandishi wa Habari
- Waandishi wa Habari na Bahasha: Sio Kila Bahasha ni Rushwa
- Uhuru wa Habari Tanzania: Je, Vyombo Viko Huru? Je, Waandishi wa Habari wako huru? Wanathaminiwa?.
- Vyombo Vya Rasmi vya Habari vya TZ, Havitimizi wajibu Wake, Njaa, Ukata, Ujinga!. Waandishi, Wamiliki Watakiwa Kujiongeza- Jicho Letu Star TV
- Vyombo Vya Habari Vya Tanzania, Havina Uwezo wa Uchambuzi wa Habari, News Analysis-Jicho Letu
Wanabodi,Wanabodi