Recent content by Posho City

  1. Posho City

    SoC04 Tanzania Niitakayo ni yenye vipaumbele hivi

    Tanzania niiyakayo mimi ni ile yenye vipaumbele vya maeneo kadhaa na ntaichanganua kama ifuatavyo: Elimu; eneo hili kwa Tanzania niitakayo linatakiwa kuwa na mikakati madhubuti na iwe na mambo haya... Elimu ya ufundi iwe rasmi...shule za ufundi zilizopo zile 9 za serikali ziwe na miundombinu...
  2. Posho City

    Mfumo wa Lawson haupatikani; Tatizo ni nini?

    Uoandishaji madaraja lazima afisa utumishi wa sehemu husika aingize data ...kupotea kwa mtandao wa LAWSON meanz hakuna kazi yoyote inayowezwa fanywa na afisa utumishi kwenye ile mfumo
  3. Posho City

    Mfumo wa Lawson haupatikani; Tatizo ni nini?

    Maafisa utumishi mliopo humu tunaomba mtwambie, sasa ni wiki ya pili mfumo LAWSON haupatikani nchi nzima. Tatizo ni nini na itarejea lini? Fomu yangu ya mkopo imekwama mezani kwa hii wiki ya pili sasa kisa mfumo!
  4. Posho City

    Kwa huu wizi mtandaoni hatari

    Mbona mm hizo zari hazijagi...ili nikamtapeli tapeli
  5. Posho City

    Mshahara wa tutor katika vyuo vya diploma vya Serikali ni kiasi gani?

    Karibuni shule za sekondari za mashirika ya umma.kama Chang'ombe sekondari...Kibaha sekondari....Tumbi sekondari...huku hata hao sijui wakufunzi mishahara yao hata kwa anayeanza kazi huku wanasubiri miaka buku
  6. Posho City

    Ushauri:Nataka kuacha kazi ya ualimu serikalini

    Msimdanganye...utaratibu wa kuomba likizo bila.malipo then ukirudi unaendelea na kazi hakuna tena...ruhusa watakupa lkn siku ukitaka kurudi unaandika barua ya kuomba kibali kwa katibu mkuu kiongozi..na kama nafasi ishajazwa watakupiga chini
  7. Posho City

    Msaada Tafadhali, nimeondolewa kwenye LOWSON

    Huku kutojua kumewaponza wengi..ndugu acha kujidanganya...taasisi yoyote ya serikali hata zisizotumia LAWSON huwezi ajiriwa mara ya pili na ukapokea mshahara kwa cheki namba mpya... Ndugu uliyeomba ushauri...kiujumla kuondolewa kwenye payroll ni ishu ndog Ila shuguli pevu inakuwa kwenye...
  8. Posho City

    Mshahara wa mwezi wa Desemba 2018 umekatwa Tshs 30,000/-

    Huyu wala sio mwalimu bali mganga njaa fulani tu kaamua kutuchekesha...kuna sehemu hapo juu anasema eti yeye mwalimu na basic yake ni 320,000/- sasa basic hiyo then ulipwe 280??...kwahyo makato yooote ya mkopo wako na ile kikokotoo ni buku40?? Unless hajui maana ya basic salary au sio mwalimu...
  9. Posho City

    Pikipiki za honda zinauzwa

    Habari za leo mkuu?...naomba kujua bei ya Honda cbd125 isiyo na starter(yenye kick tu) kwa sasa bei ni shilingi ngapi?....
  10. Posho City

    Ongeza ufaulu wa somo la history kwenye shule/centre yako

    Mleta mada hilo swali ni pana sana zaidi ya ulivyolidadavua..sema unatakiwa uwe wazi kuwa unatafuta ajira...
  11. Posho City

    Ongeza ufaulu wa somo la history kwenye shule/centre yako

    Umeelezea tu sababu za upande wa Africa lakini pia kwa upande wa nchi za Ulaya unaweza ukapata baadhi ya sababu zao kujibu hilo swali.... Mfano nchi kama Britain na France kutokana na uwezo wao na mahitaji yao waligombania maeneo mengi kuliko akina Portugal na Spain...
  12. Posho City

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Naomba mfanyie kazi post yangu namba 3226...hapo juu...hii mita haijawahi ingia tarrif 4...ilianzia tarrif 1 ndo naomba sasa mnipeleke tarrif 4 maana matumizi yangu almost mwaka sasa ni madogo....mita no 01311281537
  13. Posho City

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Sheria sijui inasemaje lakini tangia mita ilipowekwa ilikuwa ipo tarrif 1..(matumizi makubwa)..tangia mimi nilipohamia hiyo nyumba tarehe 10/11/2016 sijawahi zidi units 65. kwahyo sio kweli kusema iliwahi kuwekwa tarrif 4 then ikarudishwa tena tarrif 1 kama ulivyonijibu hapo juu. Namba yangu...
Back
Top Bottom