Msaada Tafadhali, nimeondolewa kwenye LOWSON

Ngomile

Member
Mar 18, 2018
18
14
Wakuu habari za majukumu!! Niende moja kwa moja kwenye Mada.
Ninaomba ushauri nini natakiwa kufanya kuhusu hili suala langu.
Mimi ni mwajiriwa serikalini kupitia moja ya wizara.
Nilifanya usaili katika taasisi ya umma mwaka huu mwezi wa nane na nikafanikiwa kupata kazi katika taasisi Hiyo.
Hivyo basi niliandika maombi ya kuomba kuhamisha taarifa zangu za Utumishi kwenda kwa muajiri huyo mpya taasisi hiyo ya umma na nikajibiwa kukubaliwa name mwajiri wangukuwa " ombi langu la kusitisha ajira wizara limekubaliwa" na kunielekeza nielekeze maombi yangu menejiment ya Utumishi wa umma kwa hatua zaidi.
Nilielekeza maombi yangu Kama nilivyotakiwa.
Sasa shida ikaja kwenye suala la uelewa wangu kuhusu taratibu hizo ulikuwa potofu, maana baada ya kupata tu barua ya mwajiri kuwa amesitisha ajira nami nikaondoka kituo cha kazi na kwenda kusign mkataba kwenye taasisi hiyo.
Kumbe ilinipasa kungojea mpaka kibali cha uhamisho kinikute kituoni kwangu.
Sasa wakati naendelea kusubiri kibali nikiwa nje ya kituo cha kazi msimamizi wa kituo alituma taarifa kuwa mie mtoro kazini, ila pia ikumbukwe tu kuwa nakala ya barua niliipeleka kwa msimamizi wa kituo na akasign ingawa hakikuwa Kibali uhamisho toka Utumishi.
Barua nilipata tar 31 Oct 2018 na nakala nikapeka ikasiniwa kuwa imepokelewa tar 2 November 2018.
Mwezi huo huo Nov 2018 mshahara ukasimama sikushtuka nikajua ndo labda taratibu za Utumishi kwa kuwa mwajiri amekubali ombi na kusitisha Akira.
Lakini nilipokumbuka kucheck kwenye salary slip baada ya kudownload nikakuta " Stop pay abseetism" hold pay.
Basi nikafuatilia ndo nikajua kuwa sikutakiwa kuondoka mpka kibali.
Nilipofika Wizarani kujieleza wananiambia wamenitoa kwenye Lawson na Hawana cha kunisaidia.
Sasa naomba wajuzi wa mambo mnishauri nifanyeje na ombi Tayari liko Utumishi kuomba uhamisho na wakati huo mshahara ndo hivyo.
Je ndo imekula kwangu jumla ama Vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rudi kwa msimamizi wa kituo chako cha kazi.Uandike barua ya kuomba kurejeshwa kwenye payrall

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nisaidie vitu:
1.Taasisi hiyo ya Umma uliyopata wanalipa kwa kutumia LOWSON
Maana zipo taasi za Umma hawapo kwenye huo mfumo.
2.kwanini uliomba uhamishe taarifa zako,wakati nikitendo Cha wewe kutoa notes ya kuacha kazi na baada ya hapo Hr wa huku unakuamini angekuwa na jukumu la kufanya hayo mengi Kama afisa Utumishi wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio mkuu wapo kwenye huo wa ulipaji na niliuliza hayo wakatujibu kuwa kwa kuwa system ni moja taarifa zitagongana hivyo tuombe kuhamisha taarifa na taratibu za uhamisho kupitia menejiment ya Utumishi wa immature.

Okay,hapo sawa maana hiyo scenario inafafana na jamaa yangu mmoja.
Yeye aliwapa notes ya kuacha kazi,na akijibiwa hiyo notes na baada ya hapo kule alikokuwa anaenda ndio wakashughulika na hizo taarifa zake na kufanya mchakato wote.
Kuna kitu napata shida nacho unaposema umeomba uhamisho,hakuna uhamisho Kama umefanya intiview Tena Kama taasi tofauti ya awali maana wewe unakwenda kuwa muajiriwa mpya katika hiyo taasisi unayokwenda ndio maana utapita kwenye probation Tena na utakuwa confirmed Tena.
But anyway fuata maelekezo wanayokwambia Utumishi wa Umma kwasasa mkuu,ila utarudishwa usijali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuhusu utaratibu. Ulipofanya usaili na kupangiwa kituo kipya cha kazi, ulipewa barua ya kupangiwa kituo kipya cha kazi toka Sekretarieti ya ajira, hiyo barua ulienda nayo kuripoti ktk kituo kipya cha kazi. Baada ya hapo ulirejea kwa mwajiri wa awali na kuandika barua ya kuomba kibali toka katibu mkuu utumishi, barua ilipitishwa na mwajiri wa awali. Baada ya halo ulipaswa kuendelea na kazi kwa mwajiri wa awali mpaka kibali kitoke ama kukruhusu au kukuzuia kuhama. Kama mwajiri mpya alikupokea bila kibali, alikiuka taratibu na we we unahesabiwa mtoro kwa mwajiri wa awali. Suluhisho. 1. Mwombe msamaha mwajiri wa awali na urejee kazini, 2. Mwombe mwajiri mpya akuandikie barua kuthibitisha ulikuwa kwake, 3. Fuatilia kibali utumishi ili uhame kihalali, 4. Wewe ni mkosefu tumia lugha ya unyenyekevu watakusaidia
Wakuu habari za majukumu!! Niende moja kwa mokwenye Mada.
Ninaomba ushauri nini natakiwa kufanya kuhusu hili suala langu.
Mimi ni mwajiriwa serikalini kupitia moja ya wizara.
Nilifanya usaili katika taasisi ya umma mwaka huu mwezi wa nane na nikafanikiwa kupata kazi katika taasisi Hiyo.
Hivyo basi niliandika maombi ya kuomba kuhamisha taarifa zangu za Utumishi kwenda kwa muajiri huyo mpya taasisi hiyo ya umma na nikajibiwa kukubaliwa name mwajiri wangukuwa " ombi langu la kusitisha ajira wizara limekubaliwa" na kunielekeza nielekeze maombi yangu menejiment ya Utumishi wa umma kwa hatua zaidi.
Nilielekeza maombi yangu Kama nilivyotakiwa.
Sasa shida ikaja kwenye suala la uelewa wangu kuhusu taratibu hizo ulikuwa potofu, maana baada ya kupata tu barua ya mwajiri kuwa amesitisha ajira nami nikaondoka kituo cha kazi na kwenda kusign mkataba kwenye taasisi hiyo.
Kumbe ilinipasa kungojea mpaka kibali cha uhamisho kinikute kituoni kwangu.
Sasa wakati naendelea kusubiri kibali nikiwa nje ya kituo cha kazi msimamizi wa kituo alituma taarifa kuwa mie mtoro kazini, ila pia ikumbukwe tu kuwa nakala ya barua niliipeleka kwa msimamizi wa kituo na akasign ingawa hakikuwa Kibali uhamisho toka Utumishi.
Barua nilipata tar 31 Oct 2018 na nakala nikapeka ikasiniwa kuwa imepokelewa tar 2 November 2018.
Mwezi huo huo Nov 2018 mshahara ukasimama sikushtuka nikajua ndo labda taratibu za Utumishi kwa kuwa mwajiri amekubali ombi na kusitisha Akira.
Lakini nilipokumbuka kucheck kwenye salary slip baada ya kudownload nikakuta " Stop pay abseetism" hold pay.
Basi nikafuatilia ndo nikajua kuwa sikutakiwa kuondoka mpka kibali.
Nilipofika Wizarani kujieleza wananiambia wamenitoa kwenye Lawson na Hawana cha kunisaidia.
Sasa naomba wajuzi wa mambo mnishauri nifanyeje na ombi Tayari liko Utumishi kuomba uhamisho na wakati huo mshahara ndo hivyo.
Je ndo imekula kwangu jumla ama Vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe hauna busara kabisa, ulikuja pale utumishi tukakupa maelekezo ya nini cha kufanya, leo hii umeamua kuja kutulipua humu jamiiforum?

Pole sana mkuu, usumbufu wa kurudishwa kwenye Lawson ni mkubwa mno cha msingi jipange na uwe mvumilivu na subira (it can take a year) . Kuna mtu hapo #7 amekueleza vizuri
 
Mi.mwaka wa pili nasubiria,,wanakwambia zinashughulikiwa,,natamani nijue wanashughulikiaje miaka yote??
 
Huku kutojua kumewaponza wengi..ndugu acha kujidanganya...taasisi yoyote ya serikali hata zisizotumia LAWSON huwezi ajiriwa mara ya pili na ukapokea mshahara kwa cheki namba mpya...
Ndugu uliyeomba ushauri...kiujumla kuondolewa kwenye payroll ni ishu ndog Ila shuguli pevu inakuwa kwenye kukurudisha...maana hr anayekurudisha lzma awe na supporting documents zenye mashiko...tofauti na hapo unawez lazimika kuomba kibali kwa katibu mkuu kiongozi ambacho kinatoka baada ya miaka2 au watu wa nidhamu kwa taasisi uliyokuwepo uwaone mkalimalize watoe documents..vinginevyo kiukweli otakusumbua sana na kazi mpya unaweza ikosa....sema hukutakiwa kuondoka kazini mpaka kibali cha utumishi kitoke
 
Back
Top Bottom