utakuja jua tu..... Changamoto ni muhimu si lazima wote tukubaliane na mawazo yako au ya flani!!! Lazima wengine tutakuwa tofauti tuu...
Peoples poweeeer......!!!!
Mmmmmhhhh.....inauma asikwambie mtu kavukavu bila ganzi.....
Kwa upande wa pili kuna madhara yake kwanza usipo tahiriwa vizuri ngozi ya juu (govi) baadae inakuja kurudi tena so hapo sidhani kama anafanyiwa kitaalamu... nini kama vile mtu anakatakata nyama vile.... KINGA NI BORA KULIKO TIBA...
hivi kuna tatizo gan ukila nyama iliyochinjwa na muislam?? Mbona toka zaman kulikuwa shwari tu kwa utaratibu tuliokuwa tumejiwekea, KAMA ISHU HII INA MKONO WA MTU KUTAKA KUONA WAISLAM NA WAKRISTO TUNAPIGANA KWA TATIZO DOGO mwisho wake tutaishia kama kongo
Sensa ina lengo kubwa la kupata takwimu juu ya watu wote kuhusu hali ya kiuchumi, kijamii na kidemografia ambapo ktk takwimu za elimu itasaidia serikali kujua kiwango cha elimu kwa watu wote km kusoma na kuandika, level ya elimu. Pia takwimu za Umri zitasaidia kujua umri wa watoto wanaostahili...
Possible kuna software ina run pasipo kui-comand so hiyo n virus unatakiwa uwe na antivirus strong na iwe up to date then u scan compuper mara kwa mara au kama window yako n genuine download Microsoft Security Essential through microsoft.com then update na ku scan kama kawaida
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.