Habari zenu wana-tech.
Kwa wale mnaopata shida ya kutuma E-Mail zenye attachement ambazo zina files kama .exe na .bat leo napenda tupeane ka ujuzi kidogo hapa.
Kwa kawaida GMail hairuhusu watumiaji wake kutuma email ambazo viambatanisho vyake vina mafaili ya programu kama vile .exe na .bat lakini GMail sio SMART kiasi hicho. Unapotaka kutuma email GMail inakagua attachment na kuhakikisha kwamba hazina program files. Kama umeweka attachment kwenye .zip file basi GMail itakagua ndani ya zip file kujua kama ndani yake kuna program files au la halafu ndipo unaweza kutuma au ukashindwa kutuma email yako.
leo nimegundua vi-trick kama hivi
1. Inabidi files zako uzi-compress ziwe .rar kwa kutumia compressiona utility kama WinRAR. GMail haiwezi kuscan ndani ya .rar files. Pia kwa kukazia hapo unaweza ukaweka password na hakikisha umechagua Encrypt File names hapo GMail haitaweza kukuzuia kutuma attachment zako.
2. njia ya pili ni kurename file extension na kuiweka kwenye extension ambayo siyo ya program kama vile .png, .docx, .txt n.k
njia nyingine ni kama hii.
3. njia nyingine ni kuweka files zako kwenye Drive kama vile Google Drive, SkyDrive, Dropbox n.k halafu mtumie mtu link ya hilo faili kwa email badala ya ku-attach.