Kwanini Wanawake wengi huvutiwa Na wanaume wenye Vifua vikubwa...

kwa Africa wanaume wenye vitambi ndo wanapendwa coz wanawake wengi ukiwa na ndambi wanadhani unazo, hayo ya vifua yameanza juzi tu baada ya tv kuingia bongo na watoto wa shule kuanza kushobokea series na kuiga kila kitu

Well said. Tv zinatuonyesha watu waloenda Gym kuvimbisha misuli kwamba ndio 'sexy guys',Wakati sisi bongo msuli unakuja automatically kutokana na kazi za mtulinga tunazofanya toka utotoni. Na zamani wadada walikuwa wanasema ''huyo alokomaa komaa wa nn?'' lakn TV zinafanya wadada waangalie uzuri wa mwanaume kwa western qualities. Same applies to men,sasa wanaangalie vi-portable ndio wazuri, zamani au hata sasa(kwa wengi) mwanamke akiwa 'bunyeta'(mnene kajazia)ndio.anaefaa hasa!
So kifua kikubwa,misuli ni kautamaduni ka-kimapokeo zaidi. Mbongo kujua 'kazi' haihitaji kwenda gym!
 
Mmmmh kazi kweli kweli bora mke mwema atokaye kwa Mungu wengine ni mizigo, mateso, taabu, shida, stress, magonjwa then kifo cha mateso makumbwa dunia hiii sijuwiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Mmmmh kazi kweli kweli bora mke mwema atokaye kwa Mungu wengine ni mizigo, mateso, taabu, shida, stress, magonjwa then kifo cha mateso makumbwa. dunia hiii sijuwiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Wakati naenda gym, wadada walikuwa wananipenda kupita kiasi - na sikuwa na tabia ya kufanya mambo ya kujamiiana; ilikuwa ni mara chache sana kuingiliwa na mawazo ya ngono.

Nilipoacha kwenda gym; mwili wangu ulinenepa na kuwa na katumbo design; ila sasa nikawa napenda sana mambo ya chini na kweli nilomtania akaingia kwenye 18 zangu hakuondoka bila kusuguliwa.

Kwa hali hizo mbili nashindwa kujua Je wanapenda nini hawa viumbe wa kike?

Angalizo: kamzigo kangu down kako powa tu!
 
Wanawake watanipa jibu..kwanini huwa mnavutiwa na wanaume wenye vifua vikubwa,Misuli misuli.
Je hao ndo wako fiti kila idara au ni mtazamo wenu kwa mahitaji yenu.

kifua ni dalili ya kwanza tu ya kuvutia, ila cha muhimu bana ni mkenge unaoridhisha, kifua kitakupembeleza ila hakikuridhishi. Sasa kama una lijifua na kamzee ni kakenge kadunchu utakimbiwa baada ya muda mfupi coz sisi wanawake tunasema unakua na desired qualifications ya kuvutia ila huna added advantages. Na unajua added advatages ndo huwa inampa mtu kazi bana. Kwa hiyo msiogope nyie mlie na vifua vya ndege ila mna mbio za ndege kipanga.
 
kifua ni dalili ya kwanza tu ya kuvutia, ila cha muhimu bana ni mkenge unaoridhisha, kifua kitakupembeleza ila hakikuridhishi. Sasa kama una lijifua na kamzee ni kakenge kadunchu utakimbiwa baada ya muda mfupi coz sisi wanawake tunasema unakua na desired qualifications ya kuvutia ila huna added advantages. Na unajua added advatages ndo huwa inampa mtu kazi bana. Kwa hiyo msiogope nyie mlie na vifua vya ndege ila mna mbio za ndege kipanga.

nimekusoma
 
Natafuta mume mwenye umri kati ya miaka 40 na kuendelea sijachagui kabila wala dini. Awe tu na upendo wa dhati kama anawatoto sawa tu. na pia nina mtoto mmoja.Tuwasiliana kwa aliye tayari kupitia gwijib@yahoo.com
 
Back
Top Bottom