Huyu ndiye mwanaume wa shoka.

Huyu ndiye mwanaume wa shoka.

Ukifanyiwa hicho kitendo wakikutishia kukung'oa meno bila ganzi wala huogopi chochote.
 
Aaaaahhhh hakuna lolote nimeona watu wa hivyo wengi lakin hakuna lolote wanaishia kutelekeza family zao na kuishia kwenye ulevi.
 
unajua wakati huu karibu kila kitu watu wanasema "mitazamo inabidi kubadilika na kuiangalia kwa makini" siyo kila mtazamo ni wa kuungalia na kuubadilisha kwasababu hauwezi kubadilika na hata hauhitaji kutazamwa! ni wazi kwamba aliyekwepa mishale mingi huyo ndiye anauzoefu wa mambo mengi! inawezekana akawa maskini si kwasababu ya mtazamo huo ila kwasababu ya vitu vingi! na mtu kama huyo akipata nafasi huwa na uwezo mzuri sana wa kuitumia vizuri coz hapendi kurudi katika matatizo!

kama mtu kaweza kuvumilia na kupita katika matatizo makali basi mtu huyo ni rahisi kupita vikwazo vingi na hatimae mafanikio! experience ina umuhimu wake mkuu!

Hivi ni kwanini eti ukwepe mishale mingi?, labda kama sijakuelewa kwa vile mshale ni silaha yenye kudhuru nadhani ulimaanisha mtu alokwepa magumu/masumbufu mengi ana uzoefu wa mambo mengi!! lakini nadharia hiyo si ya kweli kwani mpaka mtu anafikia hatua ya kukwepa mishale mingi ni wazi kuwa anakuwa amekosa taarifa ya msingi (elimu stahiki) ambayo ingeweza kumuweka mahala salama pasipo hata na mishale ya kukwepa.

Ndio experience ina umuhimu wake lakini sio sio kwenye kukwepa mishale afu mishale hiyo ikawa imepewa jina la Umaskini..kwakweli kama huyo jamaa wa kwenye picha hapo juu anaitwa mwanaume wa shoka basi Dr.Mo yuko sahihi kabisa, ujumbe unaotoka kwenye hiyo picha ni wazi hiyo jamii ni maskini mwili mzima(yaani kuanzia kichwani hadi miguuni) na huenda ina mambo ya kishirikina...
 
1450965_763164163701086_1236757347_n.jpg

Sidhani kama huyu atakuwa kula kulala, huyu ni lazima atakuwa fighter ambaye atahakikisha anaipeleka familia yake kwenye level za juu kabisa.
I salute you

Mwanaume akifanyiwa hivi ni ushujaa, mwanamke akifanyiwa hivyo ni unyanyasaji na uvunjaji wa haki za binadamu. Hapo ndo nashindwa kuelewa kabisa na wote tunataka usawa.....
 
unajua wakati huu karibu kila kitu watu wanasema "mitazamo inabidi kubadilika na kuiangalia kwa makini" siyo kila mtazamo ni wa kuungalia na kuubadilisha kwasababu hauwezi kubadilika na hata hauhitaji kutazamwa! ni wazi kwamba aliyekwepa mishale mingi huyo ndiye anauzoefu wa mambo mengi! inawezekana akawa maskini si kwasababu ya mtazamo huo ila kwasababu ya vitu vingi! na mtu kama huyo akipata nafasi huwa na uwezo mzuri sana wa kuitumia vizuri coz hapendi kurudi katika matatizo!

kama mtu kaweza kuvumilia na kupita katika matatizo makali basi mtu huyo ni rahisi kupita vikwazo vingi na hatimae mafanikio! experience ina umuhimu wake mkuu!
ndo maana nchi zetu zinabaki na zitaendelea kuwa maskini...unless tunabadili mitazamo yetu kuhusu mambo mbali mbali
 
Mmmmmhhhh.....inauma asikwambie mtu kavukavu bila ganzi.....

Kwa upande wa pili kuna madhara yake kwanza usipo tahiriwa vizuri ngozi ya juu (govi) baadae inakuja kurudi tena so hapo sidhani kama anafanyiwa kitaalamu... nini kama vile mtu anakatakata nyama vile.... KINGA NI BORA KULIKO TIBA... STAY SAFE..
 
Kuna jamaa yangu mkurya aliniambia kwao ndo wanafanyiwa hivyo ukifanyiwa hospital unaonekana si mwanaume kamili!

Wana matatizo yao hao, sasa ukionekana si Mwanaume kamili,wakati wewe ni Mwanaume Kamili kuna tatizo kwani?????
 
1450965_763164163701086_1236757347_n.jpg

Sidhani kama huyu atakuwa kula kulala, huyu ni lazima atakuwa fighter ambaye atahakikisha anaipeleka familia yake kwenye level za juu kabisa.
I salute you

kama hakuna kinachotokea vileee duhh
 
Back
Top Bottom