Recent content by popo

  1. P

    Mwl. Nyerere alisema kama mnampenda Kikwete kanyweni naye chai - Sasa tunayaona!!

    Tatizo kubwa la viongozi wetu wa Tanzania sio kukomaa ndugu zangu ni swala la kutokuwa wakweli, wengi wao sio wa kweli na pia wameshafanya machafu mengi huko nyuma kwahiyo kila anayeingia madarakani anashindwa kumkaripia wa chini yake kisa walishakula rushwa huko nyuma wote na akimshughulikia...
  2. P

    Kwanini tunakimbilia India kwa Tiba?

    I real support you and their is no better way I can explain.Kwenye ujamaa tulikuwa nafuu zaidi kuhusa sasa, mara nyingi nawaambia watu hilo na wanabishi lakini ukweli ni ukweli hata ukibisha.
  3. P

    Ni ufisadi wa Spika Samwel Sitta

    Kwenda shule akumuhakikishia mtu kuwa na akili,wapo watu wengi waliachia shule mfano Branson wa virgin na Bill Gate wote hawakumaliza shule lakini leo hii Gate ndio kichwa cha dunia Hii. "You can be a Fool even you go to School"
  4. P

    Kwanini Rais Kikwete haitakii mema Tanzania?

    Jamaa anapoint nyingi ambazo amezitoa na nashangaa bado kuna watanzania wapuuzi wanashindwa kujua kitu kinachoitwa ukweli.Huu ni ukweli na mtu au watu wowote wanaotaka kumjibu watumia point ambazo mwandishi amezieleza mfano watu ambao wametajwa kwenye rushwa ya rada, Je ni hatua gani...
  5. P

    BAE won't refund money back to URT; will give it to charities!

    Hii ndio shukurani ya wahindi wa tanzania kutuingiza kwenye balaa hili.Kizazi nz kizazi kitatakiwa kulipa deni hili.Hivi hii serikali yetu na viongozi mafisadi mpaka lini.kwa nini mpaka leo Chenge anakazi bado au ndio uwajibikaji wa pamoja.wameiba wengi na sio chenge peke yake inaonekana mr...
  6. P

    BAE won't refund money back to URT; will give it to charities!

    14th March 2010 Email Print Comments In the wake of British Aerospace Engineering System’s agreement recently to pay $400million(Sh540billion) in fines after admitting that its arms deals, including the controversial radar sold to Tanzania, the UK based company has confirmed that the...
  7. P

    Nani Zaidi: Mwanakijiji Vs John Mashaka

    Swala zima hapa ni uongozi mzima wa Tanzania kuanzia chini mpaka juu kuna matatizo kwahiyo hata john mashaka akipewe nchi au Shayo hawataweza lolote kwani Tanzania inatakiwa kama Gari ni kushusha engine yote na kuanza kuweka spare mpya "Overhaul" Pamoja na katiba yetu ambayo bado inalinda...
  8. P

    Mawaziri wenye PhD Feki hawa hapa!

    Wala sishanga kwani hata maamuzi yao bungeni ni ya zimamoto.Ndio maana Taifa linarudi nyuma kielimi na Kiuchumi baada ya kusonga mbele.Chaajabu zaidi serikali inafanya kazi gani kuhakikisha viongozi hawagushi vyeti kwa kuwahakiki vyeti vyao kabla ya kuwa viongozi. Hahahahahahahahha Mungu...
  9. P

    Revealed: TRL lost Sh40 billion

    BY POLYCARP MACHIRA 4th October 2009 ‘The amount of money the Indian firm is charging to lease used locomotives and wagons over five years could buy ten brand new locomotives and 48 new passenger coaches’. It swept into the country under the guise of a serious investor ready to pour billions...
  10. P

    Waafrika Tuna Bongo Ndogo?

    Nini maana ya Akili? wewe uliondika hoja hii ukijibu hilo nitakujibu swali lako.
  11. P

    Udokozi unawaponza Wabongo kupata ajira

    Ndugu zangu sio kazi zote sinahusu pesa na ni rahisi kuiba.Mimi nimefanya kazi Tanzania kama Mhasibu na nakuhakikishia sio rahisi hata kidogo kama watu wanavyofikiri kuiba kwani kuna mlolongo wa hatua (Red Tape) mpaka uwezi kuiba hizo hela.Mfano itabidi uwashirikishe watu 15 kuiba million moja...
  12. P

    Udokozi unawaponza Wabongo kupata ajira

    Huu ni upuuzi kuna nchi nyingi sana watu wake walevi na wadokozi lakini haiwi sababu ya kutoajili watu kwa sababu hiyo.Hiyo sababu ni ya kipuuzi sana.Kwani Mtanzania mmoja akiiba basi wote ni wezi.Mnataka kutuambia kwamba wazungu wote wabaguzi? Viongozi wetu ni magarasa tena Joker na wanatoa...
  13. P

    Barabara nne Chalinze - Segera hadi Tanga

    Ni Upuuzi hatuna maji safi na huduma bora za Afya hizo barabara zitasaidiaje watu ambao wengi hali zao ni duni
  14. P

    Vyama vya Ushirika vyavunja mkataba

    There is an element of corruption here if the case is on Favour of mengi why they don't want to review it again.Lets spade called spade and not spoon........ There is no justice in our Court and we afraid to said that, but that is for sure.No corruption you don't get justice, that is how it...
Back
Top Bottom