ChingaMzalendo
Senior Member
- Nov 9, 2008
- 192
- 3
ina maana unataka kuunda chama ambacho watu hawatoruhusiwa kuwa na dini au makabila fulani?
Johnson Mashaka
Mwanakijiji
Dr. Shayo Hildebrand
January Makamba
Waseme watachoka, Tanzania ni yetnu, Uongozi ni wenu baada ya 2010. Hata 2010 mkitaka, mjikite tu, kura tunawapa. Nyie ni vijana makini sana ambao Taifa letu liwaenzi