Poor Marin, ni mtu mwenye general knowledge hivyo hawezi kuwa na uwezo wa kuwa na maswali ya kina kwa kila sector, ni vizuri ajifunze kuwaachia wengine wenye uelewa mzuri kuhusu kitu fulani ndio wakafanya mahojiano. Siasa yeye, uchumi yeye, ukemia yeye, maendeleo ya jamii yeye, elimu yeye...