Simba sports club mbioni kubadilisha jina na kuwa dar es salaam united

yohana charles

Senior Member
Mar 21, 2013
134
10
Kutokana na mchakato wa kuboresha katiba ya timu ya Simba kuna taarifa kwamba moja ya mambo yatakayopelekwa kwa wanachama ni pendekezo la kubadilisha jina la timu hiyo kutoka SIMBA SC na kuwa DAR ES SALAAM UNITED SPORTS CLUB...wana msimbazi mnaonaje?
 
Dar es salaam young Africans sport club.........Kuala Lumpa.......hatari sana.
 
Ebu rejea taratibu za kuweka mabandiko kabla hujapost ili kuzingatia nini kinakaa wapi, usijekata watu stimu hapa na mambo ya Udaku.

Kutokana na mchakato wa kuboresha katiba ya timu ya Simba kuna taarifa kwamba moja ya mambo yatakayopelekwa kwa wanachama ni pendekezo la kubadilisha jina la timu hiyo kutoka SIMBA SC na kuwa DAR ES SALAAM UNITED SPORTS CLUB...wana msimbazi mnaonaje?
 
mbwa koko sport club

1454613_387551428042422_149250999_n.jpg

Mbwa koko kama huyu hapa?
 
Back
Top Bottom